stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Unaongelea FIESTA YA BURE?[emoji23][emoji23]
sasa sku ya matokeo ndo utajua kama ni fiesta ya bure ama laa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea FIESTA YA BURE?[emoji23][emoji23]
Davis Mosha alikuwa CCM.davis mosha alitugawia pikipiki akakosa ubunge akaja kunyanganya watu tena zile pikipiki, huu mwaka hesabuni wanaoshangaa kwenye mikutano. kuna wiki tatu zmebaki
Kwanj Edwin Mtei amekufa??Davis Mosha alikuwa CCM.
Moshi hatutaki himaya ya CCM.
Ni chimbuko la Waasisi wa Upinzani Tanzania.
R.I.P Edwin Mtei & Ndesamburo.
Ebu nenda kule.
Ccm wataachwa mbali sana. Nimefanya utafiti vijana wengi wenye umri kati ya 18 na 35 wanakadi ,walisajiri kwa ajiri ya vitambukisho vya kusajiria simu.Tumechoka UDHALIMU
Ebu nenda kule.
Ccm na Jiwe imepoteza kibali kwa wananchi ndio maana mnatumia wasanii, wanafunzi , watumishi na kuhonga watu kuja.[emoji23][emoji23]
Mbeya baada ya show ya diamond watu wakaanza kusepa.
Cheki watu wana tia huruma na kukosa furahaView attachment 1586093
Hatatoboa na nawambia hawezi ila ni mbwemnwe tu.Duuh! Huyu mtu anapendwa jamani.
Kuna mwingine anazidi kuifilisi nchi kwa kutumia fedha zetu za Kodi kukodi mabasi na kusomba watu.
Hajaishia hapo, pia analazimika kupiga magoti ili kuomba kura.
Jiwe , majaliwa na samia wameshavunja sheria ngapi?Hatatoboa na nawambia hawezi ila ni mbwemnwe tu,
Na hapo kavunja sheria maana mwisho.wa mikusanyiko ni saa 12 sasa kama anjua sheria na anvunja sheria basi ujue huyo ana dharau sana,
Akiingia madarakani atavunja zaidi.
JPM ni Rais anayesubilia kuapishwa kwanini niteseke!Kwani unateseka?[emoji23][emoji23]
Subili kidogo atafungiwa kufanaya kampeni asipo tii sheria ili uingie barabarani utolewe kichwa. Mtakutana na Amsterdam huko ahera akupe majibu kama kuna mtu aliadhibiwa.Bora huyu navunja sheria kuliko yule muuaji na mtekaji anayevunja katiba.
Wana kadi za kupiga kura, mnacosahau ni kwamba mlihamasisha watu wenu wasijiandikishe kisa kushindwa serikali za mitaa, hao wapiga kula au piga mbege. Wapiga kura hamnaCcm wataachwa mbali sana,nimefanya utafiti vijana wengi wenye umri kati ya 18 na 35 wanakadi ,walisajiri kwa ajiri ya vitambukisho vya kusajiria simu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Si mlisema hamfanyi kampeni , kulikoni?