Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema mbona Chadema waliogopa mdahalo 2015 baada ya kuwa na mgombea asiyeweza kujielezaTunataka mdahalo na John mbona anaogopa
Tangu lini mtu alazimishwe kuhudhuria mkutano hasioupenda halafu awe na furahaYaani watu hawana furaha masikiniView attachment 1586031
Huo One Love tunaenda kuutandika pale Taifa siku ya kuapishwa kama hatuna akili nzuri.
Tukubali ukweli, Magufuli hashindi uchaguzi huu!
Kama Kuna MTU Alikudanganya Akakwambia Chadema Imekufa, Nikuambie Sasa Mimi Nimeshuhudia Chadema Iko Mioyoni Mwa Watu, Aseee.Kwahyo unajiona umeandika kiingerezaaaaaa kama vile umeshuka saa hii na british airways pumbavu.
Alafu watakuja wapumbavu watakuambia eti upinzani nchini umekufa, hvi wale aliowanunua hawajamsaidia chochote hadi anapiga magoti?
Huo One Love tunaenda kuutandika pale Taifa siku ya kuapishwa kama hatuna akili nzuri.
Tukubali ukweli, Magufuli hashindi uchaguzi huu!
Kura yako tupa kule wala hatuna haja nayo. Ni JPM tu hadi 2025Kwa mara ya kwanza nitapiga kura mwaka huu na kura yangu itakuwa kwa Lussu jamaa ana sera na dhamira nzuri kwa mstakabali wa nchi yetu na jamaa wa nyali ama kufukuza wanafunzi, wafanyakazi kwa mgongo wa uzalendo
Lisu hapati kitu endeleeni kujitekenya wenyewe.
Kati ya maeneo ambayo ccm inapingwa sana nchini ni Kilimanjaro. Moshi ndiyo jimbo pekee nchini ambalo ccm hawajawahi kushinda tangu mfumo wa vyama vingi urudishwe nchini. Jimbo la Moshi lilinyakuliwa na wapinzani 1995 na toka wakati huo halijawahi kurudi ccm
Ccm mwaka huu wana mlima wa kupanda huko Kilimanjaro.
Ametuumiza sana wachagga,
Tuna jambo letu 28,Oct.
Amuulize Davis Mosha.