Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Aisee moshi arudi, watu walitaman aongee hata kwa dk 5 ila bahati mbaya muda uliisha...
Moshi kulizizima.
Amesema atarudi.
EjLCUNnWkAgQtOd.jpg
 
Kwa mara ya kwanza nitapiga kura mwaka huu na kura yangu itakuwa kwa Lussu jamaa ana sera na dhamira nzuri kwa mstakabali wa nchi yetu na jamaa wa nyali ama kufukuza wanafunzi, wafanyakazi kwa mgongo wa uzalendo
Sikupiga kura wakati wa mamvi!

Sasa lazima nikatimize wajibu wangu kumpigia Rais mwenye kuheshimu na kujali uwepo wa katiba na utawala wa Sheria.
 
Kati ya maeneo ambayo ccm inapingwa sana nchini ni Kilimanjaro. Moshi ndiyo jimbo pekee nchini ambalo ccm hawajawahi kushinda tangu mfumo wa vyama vingi urudishwe nchini. Jimbo la Moshi lilinyakuliwa na wapinzani 1995 na toka wakati huo halijawahi kurudi ccm

Ccm mwaka huu wana mlima wa kupanda huko Kilimanjaro.
 
Ina maana waliotengeneza mabango makuubwaaaa ya Magufuli na maccm walifanya kazi ya bure na pesa zao zimeenda bure au ilikuwa some sort of money laundering ?

Maana Rais Mteule TUNDU LISSU hana bango hata moja lakini anasepa na kijiji kila anapotia timu, achana na zile nyomi za wanafunzi wanazozitumia maccm.
Wamepoteza pesa bure.
 
Back
Top Bottom