Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,308
- Thread starter
- #101
[emoji23][emoji23] Si mlisema nyomi La 2015?ivi unadhan hao nyomi ni wapiga kura? unajua ccm ina wanachama wangap?
Kwahiyo wapiga kura ni wakenya sio?
Ccm wenyewe hawamtaki jiwe na inajulikana mpaka kinana, nape, makamba na membe wanamuita mshamba.