Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

Mbona habari yenyewe unaandika unaichanganyachanganya huenda ww ndio ulisababisha mtuhumiwa aachiwe kama ulikiwa mmoja wa mashahidi
 
Ww ni mshenzi kweli huenda ww ni shoga yaani unacheka na kutabasamu na kufikiria watoto wadogo et walawitiwe
 
Kuna faraja ili tumtenge na jamii asiendeleze ushetani wake kosa la kulawiti ni la kishenzi na linatia hasira ndio maana wengine wanajichukulia sheria mkononi, wewe utakubali mtu aliyemfanyia ushenzi mtoto wako umuone anatembea hata kwa dhamana mimi nitamalizana nae kivyanguvyangu
 
Basi malizanaa nae tu mkuu utuletee mrejesho
 
da!!!!!.......
 
Kwanini wasihamie huko ili wawe huru katika masuala yao?, yaani kuhalalisha laana kisa ufirauni wa watu kadhaa?? Kweli hamnazo

maana inaonekana hata ikihalalalishwa leo, kesho utagawa madako kitaa kizima kwa jinsi unavyopenda chemba izibuliwe
 
Makubwa kwahiyo kwakua majanga yanaendelea kutokea basi yaruhusiwe mana hata hilo ni janga lakukemea na si kupewa support. Mbona kuna njia halali kwenye sex na bado watu wanabaka, kundi la watu wachache lisifanye taifa kuharibika.
 
Mimi napenda anal sex kwa hetero/ mwanamke 😋 cocastic
 
Huko Moshi nako kumezidi sana katika Masuala ya Kulawiti.

Hao vijana wa kiume wote watano ina maana wameona ni bora wamle wa kiume mwenzao tena kwa kumpiga mtungo?? Wamekosa kabisa wanawake.

Hawa ndiyo watu wasiostahili hata kuiona pumzi ya kesho kwenye hii dunia. Wamachame wa Narumu nao wanashoia sana kuua watu kama hawa.
 
...Wanaishiwa kusikitika na Kulalamika ? Kwani Machame ndio Tanzania yote ? Mmeshindwa kwenda Hatua Kwa Hatua kupata Haki yenu ?? [emoji848][emoji848]
 
Tukio likifanyika moshi inamaanisha total mhusika ni WA Moshi?
Pili matukio kama hayo ni jinai kama jinai zingine Sheria ifuate mkondo
Pia kwa takwimu,matukio ya ubakaji na untanyasaji kingono mkoa WA iringa ndio unaoongoza
Acha kujitetea. Moshi inakufa siku hiz kuanzia rombo mpaka siha vijana ni pombe, ulevi, wanawake,bángi na sasa ubakaji na ulawiti. Bila kusahau mauaji.
Ingia youtube tu search moshi kilimanjaro uone matukio ya ovyo ndani ya mwaka huu tu.

Nilienda moshi wanaume wote wamechoka sura kuanzia vijana hadi wazee. Watu wenye núrí ni watu kutoka mikoani tu na kidogo wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…