BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Naona unarudia propaganda za Kakobe na mwenzake wa Kanisa la Agape - FYI Tanzania ni Taifa huru kila raia ana haki yakufuata dini aipendayo.
Umeongea point ya muhimu sana. Ilibidi awe mmoja wa waokoaji wa mstari wa mbele na kuliwza wafiwaHistoria hujirudia. Watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa na hivyo kudaganywa na wajanja. Alikuwepo Kibwetere akawaponza wafuasi wake yeye haifahamiki vizuri yuko wapi. Bulldozer baada ya kusababisha dhahama hiyo ndo kwanza anapanda ndege kurudi zake Dar badala ya kuongoza ibada ya mazishi ya hao waliokufa!
Jukumu la msingi la serikali ni kuhakikisha usalama wa watu wake.Mtasema serikali inaingilia uhuru wa kuabudu
Kwa kosa lipi ?Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
Ila uzuri watani zangu wasukuma si malimbukeni wa dini za kizungu na kiarabu. Wengi wanafuata dini zao za jadi.
Akamatwe kwa kosa gani wakati wapuuzi mijiwatu akili kisoda imejidhuru yenyewe kwa yenyewe ?ye mjanja mpiga dili anasuhusika vipi hapoHuyo mchungaji hata hakamatwi? Kama hayupo kizuizini mpaka sasa basi serikali imeoza, ikafukiwe tu tuendelee na maisha yetu.
Wakati wanakanyaga mafuta wala hakuwepo alishaondoka akaacha watu wanasukumana!! Nafikiri hata hizo taarifa kazipata akiwa Dar tayari!Mkuu labda utuambie wewe hili tukio unalionaje, kwamba ni tukio la kawaida tu na watu hawatakiwi kusema kitu?
Kwahiyo kama halijawahi kutokea tena, basi tusiongee tukae kimya?
Wewe huoni kama kuna uzembe uliofanyika kwa upande wa waandaaji (akiwepo mchungaji) uliopelekea watu 20 kufa?
Na je unachukuliaje kitendo cha mchungaji kuondoka zake baada ya watu 20 kufariki as if nothing happened, akaishia airport?
Upuuzi ni ule ule, utendeke Tanzania, mashariki ya kati, ulaya n.k.Du jamaa kaona awatowe kafala wachaga poleni watani zangu Ila huyo asiachuwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijumuishe kiujulma kwamba ni uchagani,Moshi Mjini wanaishi makabila yote na wasio na kabila.Kubagua ni kufanya sana hata Mwalimu Nyerere alilisemea hili.Uchagani wajinga ni wengi sana....... Wewe huoni wanavyoburuzwa na Chadema!
Kagame hajawahi kusali SCOAN kwa TB Joshua...leta evidence hapa kwa usemayo ni kweli. He is way far too smart for this kind of shit. He understands the way of the world which is 'survival of the fittest' mind you He will do anything absolutely anything to ensure that he survives and stays in power. Pia mauaji ya kimbari hayakuongozwa na mapadre wala maaskofu... Hawakuongoza elewa maana ya neno kuongoza bali walishiriki na kuchochea maana wengi wao walikua wahutu na hatred kwa watutsi ilikua ishaenea nchi nzima..this kind of hatred transcended religion...had you been there...ungekua mtu wa huko ungenielewa vizur..War is war my friend. Never wish for something called War..let alone tribal/civil war...madhara yake ni makubwa..makovu yake huwa hayafutiki milele. To date ukiachilia mkono wa chuma wa Kagame wahutu na watutsi hawapendani...its a matter of time before what happen in 1994 will happen again. Najua huwez nielewa maana hivi vitu wengi mmevisoma kwenye vitabu na mitandao but had you lived in Rwanda and eastern Congo from 1990 to early 2000s you would understand what i meanMauaji ya kimbari Rwanda yaliongozwa na mapadri na maaskofu wa kanisa katoliki ambao wote walikuwa na digrii za theolojia.Kagame hajielewi.Yeye mwenyewe huwa anaenda kusali Nigeria kwa TB Joshua ambaye hajawahi somea uchungaji maisha Yale yote
Chadema imewaharibu sana hawa jamaa wanataka watajirike kwa kukanyaga mafuta bila kifanya kazi.wachaga nao siku hizi wanapenda sana kitonga.. kwamba wakikanyaga hayo mafuta watajirike?
Sent using Jamii Forums mobile app
...Mkuu, nadhani ana maana ya kwamba Huyo Mtume aliyamwaga mafuta hayo sehemu kisha akadai kuwa watakaokanyaga sehemu hiyo watapata baraka na ndio mijitu ikakanyagana ikigombea kukanyanga sehemu hiyo!Sijakuelewa mkuu! Yaani wamekanyagana wakigombea kukanyaga mafuta au wakigombea kuchukua hayo mafuta?
Mungu tuhurumie Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukanyaga ili upate upakoSijakuelewa mkuu! Yaani wamekanyagana wakigombea kukanyaga mafuta au wakigombea kuchukua hayo mafuta?
Mungu tuhurumie Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
hali ngumu ya maisha jamani duuuuh
Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!