Wewe unaelewa unachokisema. Ebu saidia kumuelewesha huyu jamaa anayeitwa Bukyanagandi maana hataki kabisa kuelewa.Yesu alilisha watu elfu 5 wenye njaa (narudia tena elfu 5) lakni hawakukanyagana. Tukisema hizi nyingne ni kafara tuwe tunaelewana ..Tatizo vibanda imani vimezidi sana.
Kubainika kuwa hana hatia ni kazi ya mahakama. Maana yake wafungue mashtaka. Waweka clear watafungua mashtaka kwa makosa gani. Wajuzi wa sheria watatujuza.
Ila nijuavyo mtu kuweka ndani sababu moja wapo ni usalama wake yeye mwenyewe, nahsi ndio kubwa kwa hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
well said mkuuAfricans tuna shida sana mkuu
Yaani freedom ya kwanza tunayotakiwa tuipate ni freedom of mind
Our minds are entangled
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni taratibu.[emoji23][emoji38]hivi na ulaya wanafanya hivo ? kwamba unawekwa ndani kwa usalama wako ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aliomba kibali cha hilo kusanyiko?
Kama hakuomba kibali awekwe ndani na taratibu za kisheria zifuatwe..
Kama aliomba kibali na kupewa basi aachiwe mara moja na jeshi la polisi Moshi liwajibike..
Uzuri atakuwa ndani kwa kosa la mauaji, akabidhiwe kwa mzee wakuinuliwa hamna jinsiKubainika kuwa hana hatia ni kazi ya mahakama. Maana yake wafungue mashtaka. Waweka clear watafungua mashtaka kwa makosa gani. Wajuzi wa sheria watatujuza.
Ila nijuavyo mtu kuweka ndani sababu moja wapo ni usalama wake yeye mwenyewe, nahsi ndio kubwa kwa hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafuta yawe ya kula au disel yanateleza wewe unayamwaga kwenye kavelo watu wakanyage akili matope?Umeambiwa ukitoka kanyaga mafuta uende, wewe unafika getini unasimama na kuanza kupiga kwata. Wenzako wanyuma wanakusukuma, unakanyagwa, unakufia mbali.
Wengine wanasema walikusikia ukiomba umauti, umepata Ulichoomba.
Free mchungaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
You right 👍Aliomba kibali cha hilo kusanyiko?
Kama hakuomba kibali awekwe ndani na taratibu za kisheria zifuatwe..
Kama aliomba kibali na kupewa basi aachiwe mara moja na jeshi la polisi Moshi liwajibike..
Yako sana kule unyakyusani mbeya. Na wanabii wengi wa uongo aka wajasiliamali wa dini akiwemo mwamposa wanatokea huko huko mbeya sijui kuna nini?Hii mambo kwetu huko bukoba huwezi sikia kabisa, infact, tumeelimika.
Sent using Jamii Forums mobile app
huko Instagram ndo wanamuombea hadi wasanii.na bado waumini wa dar wamempokea na kushiriki nae katika ibada kama hakuna kitu kilicho tokea vile ambacho ni kibaya na kimeumiza hisia za watu wengi.........
hili taifa lina watu wengi vichaa
Watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifaManabii wa uwongo tu mafuta yanakaa kanisani
eehhh eehh !!...thats why nili unstore hiyo platform imejaa wajinga wengi
yule jamaa ni mshenzi...hauwezi kudiriki kumwaga mafuta kwenye geti kwa umati wote ule halafu utegemee kuona watu wakiwa salama....You right 👍
Kibali aliomba akapewa? Kama aliomba na hakupewa aonyeshe then case ibebeshwe polisi Moshi.na kama anacho why hakupewa polisi wa kuchunga usalama?
Ingekuwa patashika nguo kuchanika. Na siyo mkutano kuwa wa upinzani. Ninavyojua mwamposa anayo kadi ya ccm hii itamsaidia sana kuondokana na kisanga hiki. Maana wanajua anaweza kuwa mtaji mkubwa kwa chama chao wakati wa uchaguzi. Lakini kama angekuwa upinzani basi angeziona rangi zote za electromagnetic spectrum.Js imagine huo mkutano ungekua wa chama cha upinzani
Ataripoti,atapelekewa mdhamana atatoka Then Kimya tunamsahau mambo meng.Kubainika kuwa hana hatia ni kazi ya mahakama. Maana yake wafungue mashtaka. Waweka clear watafungua mashtaka kwa makosa gani. Wajuzi wa sheria watatujuza.
Ila nijuavyo mtu kuweka ndani sababu moja wapo ni usalama wake yeye mwenyewe, nahsi ndio kubwa kwa hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app