profftobe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 906
- 939
Wewe unaelewa unachokisema. Ebu saidia kumuelewesha huyu jamaa anayeitwa Bukyanagandi maana hataki kabisa kuelewa.Yesu alilisha watu elfu 5 wenye njaa (narudia tena elfu 5) lakni hawakukanyagana. Tukisema hizi nyingne ni kafara tuwe tunaelewana ..Tatizo vibanda imani vimezidi sana.