Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Yesu alilisha watu elfu 5 wenye njaa (narudia tena elfu 5) lakni hawakukanyagana. Tukisema hizi nyingne ni kafara tuwe tunaelewana ..Tatizo vibanda imani vimezidi sana.
Wewe unaelewa unachokisema. Ebu saidia kumuelewesha huyu jamaa anayeitwa Bukyanagandi maana hataki kabisa kuelewa.
 
Kubainika kuwa hana hatia ni kazi ya mahakama. Maana yake wafungue mashtaka. Waweka clear watafungua mashtaka kwa makosa gani. Wajuzi wa sheria watatujuza.

Ila nijuavyo mtu kuweka ndani sababu moja wapo ni usalama wake yeye mwenyewe, nahsi ndio kubwa kwa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji38]hivi na ulaya wanafanya hivo ? kwamba unawekwa ndani kwa usalama wako ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inasemekana pale uwanjani kulikuwa mvua imataka kunyeaha sasa ile hali ya kukanyaga mafut watu wakawa wanagombania kukanyaga ili wawahi kutimla kabla hawajańyshewa kwa wingi w wale watu na bwawa lenye hayo mâfuta lilikuwa ndogo sana mdio kikatokea kukanyagana kama ng'ombe kwene josho
 
[emoji23][emoji38]hivi na ulaya wanafanya hivo ? kwamba unawekwa ndani kwa usalama wako ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo ni taratibu.
Uaweza wekwa ndani kwa:

1.Kukulinda wew, mfano. Ukiwa na tuhuma za uchawi au lolote ambayo jamiii inataka kukudhuru utashikliwa.

2.kukuzuia usitende uharifu zaidi.

3. Kukuzuia usiende kuharibubushahidi.

4. Usitoroke,

N. K

Vipi kwani ulaya ndio standard ya kulinganishia usahih na uhalali wa kitu? Wao wana desturi zao, katiba yao,uongozi wao na sisi tuna namna yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliomba kibali cha hilo kusanyiko?
Kama hakuomba kibali awekwe ndani na taratibu za kisheria zifuatwe..

Kama aliomba kibali na kupewa basi aachiwe mara moja na jeshi la polisi Moshi liwajibike..

Kibali alipewa but muda tukio limetokea ilikuwa ni zaid ya muda wa kibali chake
 
Umeambiwa ukitoka kanyaga mafuta uende, wewe unafika getini unasimama na kuanza kupiga kwata. Wenzako wanyuma wanakusukuma, unakanyagwa, unakufia mbali.
Wengine wanasema walikusikia ukiomba umauti, umepata Ulichoomba.
Free mchungaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubainika kuwa hana hatia ni kazi ya mahakama. Maana yake wafungue mashtaka. Waweka clear watafungua mashtaka kwa makosa gani. Wajuzi wa sheria watatujuza.

Ila nijuavyo mtu kuweka ndani sababu moja wapo ni usalama wake yeye mwenyewe, nahsi ndio kubwa kwa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri atakuwa ndani kwa kosa la mauaji, akabidhiwe kwa mzee wakuinuliwa hamna jinsi
 
Umeambiwa ukitoka kanyaga mafuta uende, wewe unafika getini unasimama na kuanza kupiga kwata. Wenzako wanyuma wanakusukuma, unakanyagwa, unakufia mbali.
Wengine wanasema walikusikia ukiomba umauti, umepata Ulichoomba.
Free mchungaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafuta yawe ya kula au disel yanateleza wewe unayamwaga kwenye kavelo watu wakanyage akili matope?
 
Aliomba kibali cha hilo kusanyiko?
Kama hakuomba kibali awekwe ndani na taratibu za kisheria zifuatwe..

Kama aliomba kibali na kupewa basi aachiwe mara moja na jeshi la polisi Moshi liwajibike..
You right 👍
Kibali aliomba akapewa? Kama aliomba na hakupewa aonyeshe then case ibebeshwe polisi Moshi.na kama anacho why hakupewa polisi wa kuchunga usalama?
 
You right 👍
Kibali aliomba akapewa? Kama aliomba na hakupewa aonyeshe then case ibebeshwe polisi Moshi.na kama anacho why hakupewa polisi wa kuchunga usalama?
yule jamaa ni mshenzi...hauwezi kudiriki kumwaga mafuta kwenye geti kwa umati wote ule halafu utegemee kuona watu wakiwa salama....
 
Js imagine huo mkutano ungekua wa chama cha upinzani
Ingekuwa patashika nguo kuchanika. Na siyo mkutano kuwa wa upinzani. Ninavyojua mwamposa anayo kadi ya ccm hii itamsaidia sana kuondokana na kisanga hiki. Maana wanajua anaweza kuwa mtaji mkubwa kwa chama chao wakati wa uchaguzi. Lakini kama angekuwa upinzani basi angeziona rangi zote za electromagnetic spectrum.
 
Kubainika kuwa hana hatia ni kazi ya mahakama. Maana yake wafungue mashtaka. Waweka clear watafungua mashtaka kwa makosa gani. Wajuzi wa sheria watatujuza.

Ila nijuavyo mtu kuweka ndani sababu moja wapo ni usalama wake yeye mwenyewe, nahsi ndio kubwa kwa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ataripoti,atapelekewa mdhamana atatoka Then Kimya tunamsahau mambo meng.
 
Back
Top Bottom