pmwasyoke
JF-Expert Member
- May 27, 2010
- 4,760
- 3,324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
Nilicho gundua watu walio wengi humu Jf mnapenda kuongelea vitu kimihemko sana na porojo za kuchangamsha akili kuliko kuongelea uhalisia ambao una ukweli wa kutosha ambao haupendwi wala kusikilizwa na watu wengi wajinga,
Mara nyingi Mwamposa amkekuwa akiandaa makongamano ya kukanyaga mafuta Dsm na watu wengi kuponywa na kokote aliko enda halijawahi tokea tatizo lolote iweje Moshi wakati wa kukanyaga mafuta bahati mbaya wengi wakadondoka na kukanyagana, mtu anatokea aliko toka anakwambia "wajinga ndio waliwao" mnamkosea sana Mungu,
Jifunzeni kufanya research vya kutosha kabla ya kutenda wala kuongea lolote, kuna mtu ame-reply eti mafuta ya upako ni kama hirizi tu, na yametajwa hadi kwenye biblia na matumizi yake ila kwakuwa wengi wanapenda mihemko na porojo kuliko ukweli basi ni tatizo kwenye jamii,
Kumbe wachagga mbumbumbu namna hiiWaumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia 20 na uenda idadi hiyo ikaongezeka Mkuu wilaya amethibitisha.
UPDATES:
Watu 20 (watu wazima 18 na watoto 2) wamepoteza maisha mjini Moshi Kilimanjaro jioni ya leo, baada ya kutokea kukanyagana kwenye kusanyiko la kidini, wakati umati wa watu ukigombea kukanyaga eneo yalipomwagwa mafuta yaliyosemwa kuwa ya upako toka kwa Mhubiri Boniface Mwamposa.
Taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Mhubiri huyo alielekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akitaka kuondoka, lakini ndege aliyokuwa amepangwa kuondoka nayo ilichelewa (delayed) na ndipo Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro lilipomtia mbaroni uwanjani hapo.
Chanzo: Mwananchi
Wanaangamia au wanaangamizwa ?Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia 20 na uenda idadi hiyo ikaongezeka Mkuu wilaya amethibitisha.
UPDATES:
Watu 20 (watu wazima 18 na watoto 2) wamepoteza maisha mjini Moshi Kilimanjaro jioni ya leo, baada ya kutokea kukanyagana kwenye kusanyiko la kidini, wakati umati wa watu ukigombea kukanyaga eneo yalipomwagwa mafuta yaliyosemwa kuwa ya upako toka kwa Mhubiri Boniface Mwamposa.
Taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Mhubiri huyo alielekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akitaka kuondoka, lakini ndege aliyokuwa amepangwa kuondoka nayo ilichelewa (delayed) na ndipo Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro lilipomtia mbaroni uwanjani hapo.
Chanzo: Mwananchi
Kama siyo mmoja wa wanufaika basi acha kushabikia ushirikina na utapeli wa baadhi ya hao wanaojiita manabii na mitume wajasiriamali kupitia mgongo wa dini.Nilicho gundua watu walio wengi humu Jf mnapenda kuongelea vitu kimihemko sana na porojo za kuchangamsha akili kuliko kuongelea uhalisia ambao una ukweli wa kutosha ambao haupendwi wala kusikilizwa na watu wengi wajinga,
Mara nyingi Mwamposa amekuwa akiandaa makongamano ya kukanyaga mafuta Dsm na watu wengi kuponywa na kokote aliko enda halijawahi tokea tatizo lolote iweje Moshi wakati wa kukanyaga mafuta bahati mbaya wengi wakadondoka na kukanyagana, mtu anatokea aliko toka eti "wajinga ndio waliwao" mnamkosea sana Mungu,
Jifunzeni kufanya research vya kutosha kabla ya kutenda wala kuongea lolote, kuna mtu ame-reply eti mafuta ya upako ni kama hirizi tu, na yametajwa hadi kwenye biblia na matumizi yake, Muogopeni Mungu,
Wanajiangamiza.
Which God?.Poleni ndugu zetu God's Plan.
@I am Bless: Usiseme kwamba watu wengi wanakurupuka bali jiulize na fanya kuushirikisha vyema ubongo wako.Nilicho gundua watu walio wengi humu Jf mnapenda kuongelea vitu kimihemko sana na porojo za kuchangamsha akili kuliko kuongelea uhalisia ambao una ukweli wa kutosha ambao haupendwi wala kusikilizwa na watu wengi wajinga,
Mara nyingi Mwamposa amekuwa akiandaa makongamano ya kukanyaga mafuta Dsm na watu wengi kuponywa na kokote aliko enda halijawahi tokea tatizo lolote iweje Moshi wakati wa kukanyaga mafuta bahati mbaya wengi wakadondoka na kukanyagana, mtu anatokea aliko toka eti "wajinga ndio waliwao" mnamkosea sana Mungu,
Jifunzeni kufanya research vya kutosha kabla ya kutenda wala kuongea lolote, kuna mtu ame-reply eti mafuta ya upako ni kama hirizi tu, na yametajwa hadi kwenye biblia na matumizi yake, Muogopeni Mungu,
Wewe nawe ni kipofu, hujui hata kuchambua kati ya pumba na mchele. Mungu akurehemu bure.We ndo zuzu kweli toka lini Mungu akafanya jambo kwa bahati mbaya. Yaani Mungu aruhusu watu wafe wakiwa kwenye eneo takatifu tena kwa nabii na mtume wake? Huyo ni nabii wa uongo na tapeli.
Mungu mwenyew anasema", Njooni nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo nami nitawapumzisha". Kwahiyo hapo ndo kawapumzisha au? Pigo la Mungu huja siku usioizani na siku yake ndo leo. Huko nyuma Mungu alimwacha pengine ili atubu,bahati mbaya akawa jeuri na hayo ndio matunda yake. Bulldozer ni tapeli,na mchawi km ilivyo kwa TB Joshua,Mzee wa upako, Gwajima,Prophet Bushir na Geodavie.
Sent using Jamii Forums mobile app