tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Hawa watu wangekufa kwa kuipinga ccm ambayo ndiyo chanzo cha maisha magumu kwao ningewaelewa na ingekuwa na maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mauaji ya kimbari Rwanda yaliongozwa na mapadri na maaskofu wa kanisa katoliki ambao wote walikuwa na digrii za theolojia.Kagame hajielewi.Yeye mwenyewe huwa anaenda kusali Nigeria kea TB Joshua ambaye hajawahi somea uchungaji maisha Yale yote
Common Scrupulosity compulsions:*Common Scrupulosity OCD obsessions:*
[emoji904]Fear of living a life of sin or one that God wouldn’t approve of.
[emoji904]Fear of doing something that doesn’t align with your moral or ethical standards.
[emoji904]Constantly wondering if you’re praying enough or the right way.
Sent using Jamii Forums mobile app
Common misconceptions about Scrupulosity:Common Scrupulosity compulsions:
[emoji904]Excessive prayer.
Saying the same prayer over and over again until a state of certainty has been achieved. You feel as if God would approve of the amount.
[emoji904]Reassurance.
Seeking constant reassurance from God.
[emoji904]Excessive reflection.
Making sure that you haven’t said something God would blasphemous.
[emoji904]Going to church or temple.
Constant visits to places of worship.
[emoji904]Confession.
Excessive confessions to a priest, rabbi, other clergy or even a significant other.
[emoji904]Thoughts of unholiness.
Having natural associations that you think are unholy and offensive to God.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo cha habari ni kipi? Chanzo cha habar kweny mitandao bila kutupa hyperlink sijakubali bado.
Wachaga ni wajinga sana Yani. Mpaka kwenye michezo wanaamini uchawiAngalia hayo makanisa ya wanaojiita manabii na mitume, asilimia 95 ni wachaga.
Kumbe wajinga wapo kila mkoa hapa nchiniWaumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia 20 na uenda idadi hiyo ikaongezeka Mkuu wilaya amethibitisha.
UPDATES:
Watu 20 wamefariki dunia leo jioni Jumamosi Februari 1,2020 katika ibada ya mahuburi wakati wa harakati za kukanyaga mafuta ya upako kwenye kongamano la Mtume Boniface Mwamposa 'Buldoza' katika Viwanja vya Majengo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Inadaiwa kuwa waumini hao walikumbwa na maafa hayo wakati wakikanyagana kwa ajili ya kugombania kukanyaga mafuta yaliyomwagwa na mhubiri huyo yakidaiwa kuwa na upako.
Inaelezwa kuwa watu zaidi ya 40 walikanyagana katika harakati za kugombania mafuta ya upako na kukimbizwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi.
Idadi ya waliokufa huenda ikaongezeka kwa kuwa hakuna taarifa ya ujumla ya majeruhi waliopelekwa katika vituo vya afya vya jirani pamoja na Hospitali ya Rufaa ya KCMC.
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba amelithibitisha leo saa 5:00 usiku kuwa taarifa za awali waumini 20 wamekufa lakini akasisitiza hizo ni taarifa za awali.
“Taarifa za awali tulizonazo ni kuwa ni waumini 20 wamepoteza maisha lakini tunaendelea kufuatilia maeneo mengine ya zahanati, vituo vya afya na hospitali kama kuna watu walipelekwa huko,” amesema Kippi.
Taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Mhubiri huyo alielekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akitaka kuondoka, lakini ndege aliyokuwa amepangwa kuondoka nayo ilichelewa (delayed) na ndipo Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro lilipomtia mbaroni uwanjani hapo.
Apostle Boniface Mwamposa a.k.a Bulldozer
Chanzo: Mwananchi
=====
MWAMPOSA ATAKIWA POLISI KWA MAHOJIANO
Jeshi la Polisi limemtaka Boniface Mwamposa kujisalimisha polisi kwa mahojiano ya vifo vya watu 20 vilivyotokea mjini Moshi Mkoa wa Kilimanjaro usiku Februari Mosi, 2020
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni amesema mchungaji wa Kanisa la Calvary Assemblies of God, Elia Mwambapa ndiye aliyeomba kibali cha kongamano hilo la siku tatu lililomalizika jana Jumamosi
Amesema baada ya hilo tukio wamemtafuta sana huyo Boniface Mwamposa maarufu kama Bulldozer bila mafanikio. Na kumtaka ajisalimishe kwa mahojiano
Kamanda Hamduni alifafanua kuwa idadi ya waliokufa ni 20 hadi sasa, ambapo kati yao watoto wadogo ni wanne, watu wazima 16
Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Huyo mchungaji hata hakamatwi? Kama hayupo kizuizini mpaka sasa basi serikali imeoza, ikafukiwe tu tuendelee na maisha yetu.
Uchagani wajinga ni wengi sana....... Wewe huoni wanavyoburuzwa na Chadema!
Siamini hii ni hoax
hapa ndokipimo cha matatizo kwa watu yanapoonekana,hii yote inatokana ma hali mbaya mtaani kiasi cha kila mtu kujiona amerogwa
Kingsmann
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120]Poleni sana! Mungu awatie nguvu