Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Walisema hawautambui uchaguzi wa 2020 uliomfanya Samia makamu wa Rais na Rais 2021 kikatiba.

Leo wamemualika Rais Samia kama mgeni rasmi wa siku ya wanawake wakimtambua kama mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri.

Hayati Magufuli alinunua mmoja moja ila wa sasa kanunua chama chote.
 
Vijana wanawekewa bando kupotosha, utafika muda wa kukana wazazi wao, time will tell.
 
Waambie MATAGA wanaotamani kufa Kwa ajili ya kulinda legacy uchwara kwamba siasa ni upumbavu mtupu ili kunusuru Maisha uhai wao.
Mngekuwa imara msingehangaika na marehemu kila uchao,unapambanaje na marehemu halafu unajisifu?, empty stomach and mind only doing this rubbish
 
Walisema hawautambui uchaguzi wa 2020 uliomfanya Samia makamu wa Rais na Rais 2021 kikatiba.
Leo wamemualika Rais Samia kama mgeni rasmi wa siku ya wanawake wakimtambua kama mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri.
JPM alinunua mmoja moja ila wa sasa kanunua chama chote
Wewe nawe usiwe mjinga. Siasa ni dynamic. Wakati mwingine misimamo hubadilika kutokana na kutimizwa kwa matakwa fulanifulani. Soma articles za conflict resolution and peace building ili uache kujiabisha hapa jukwaani kwa umbumbumbu wako.
 
Mngekuwa imara msingehangaika na marehemu kila uchao,unapambanaje na marehemu halafu unajisifu?, empty stomach and mind only doing this rubbish
Hahahah ........ukiguswagwa kunako unatoaga povu hadi basi. Usinikasirikie Mimi. Kasirikia ujinga wako Wa kuwa mfuasi Wa mtu. Mwenyekiti wenu keshawaacha na legacy yenu uchwara, anajua mtu mwenye akili timamu hawezi kumsemea dhalimu. Pambaneni wenyewe.
 
Walisema hawautambui uchaguzi wa 2020 uliomfanya Samia makamu wa Rais na Rais 2021 kikatiba.
Leo wamemualika Rais Samia kama mgeni rasmi wa siku ya wanawake wakimtambua kama mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri.
JPM alinunua mmoja moja ila wa sasa kanunua chama chote
MADINI
 
Simamia ukweli utakuweka huru,acha ufala,wanachofanya chadema hakuna mwenye utimamu wa akili atawaelewa,sana **** kinoko kama wewe tu
Samia kasema anapata upinzani mkali ndani ya chama chake kuhusu MARIDHIANO.
Sasa ajabu hao watu wake wa CCM wanaompinga wakipeana buku Saba Saba kukashifu MARIDHIANO hawaji kama CCM Bali wanajifanya Chadema au wapinzani Kisha kuilaumu Chadema kuwa imenunuliwa na kudanganya na maneno mengi upotolo mtupu.
KWA NINI WANACCM HAMJI KULAUMU KAMA WANACCM MNAJIGEUZA CHADEMA? Tumeshtuka pelekeni upumbavu wenu huko. Sisi Tumechoka kupigana mabomu,virungu na risasi na polisi tunataka tusimame majukwaani kuzingumza Kwa uhuru na uwazi, Katiba mpya na uchaguzi huru na haki Kwa Tume huru.
Kama mnataka hovyo vita SI mpambane na mwenyekiti wenu? Au mnamuogopa maana yeye ni Amiri jeshi mkuu anaweza kuwafanya nyie Yale Magufuli alikuwa anatufanyia sisi?
Yes, kama ndani ya CCM mnaona mwenyekiti wenu anaridhiana na Chadema nanyi hamtaki andamaneni, mtukaneni na mwambieni wazi kuwa hatukutaki tujue KWELI NYIE VIDUME!
Pambaf kabisa
 
Walisema hawautambui uchaguzi wa 2020 uliomfanya Samia makamu wa Rais na Rais 2021 kikatiba.
Leo wamemualika Rais Samia kama mgeni rasmi wa siku ya wanawake wakimtambua kama mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri.
JPM alinunua mmoja moja ila wa sasa kanunua chama chote
Mbowe ndio ananunua CCM na mti wake hivyo.
 
Walisema hawautambui uchaguzi wa 2020 uliomfanya Samia makamu wa Rais na Rais 2021 kikatiba.
Leo wamemualika Rais Samia kama mgeni rasmi wa siku ya wanawake wakimtambua kama mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri.
JPM alinunua mmoja moja ila wa sasa kanunua chama chote
Ikikuuma jinyonge punga wewe
 
Walisema hawautambui uchaguzi wa 2020 uliomfanya Samia makamu wa Rais na Rais 2021 kikatiba.
Leo wamemualika Rais Samia kama mgeni rasmi wa siku ya wanawake wakimtambua kama mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri.
JPM alinunua mmoja moja ila wa sasa kanunua chama chote
Daah! Umeamua sana na bado utajua haujui!!
 
Back
Top Bottom