Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Hamna ujanja hapo!
FB_IMG_1678253684664.jpg
 
Unajua mkuu Kuna vitu vinashangaza Sana ,,wakati ACT inahudhuria vile vikao vya mukandala CHADEMA walishambulia Sana lkn leo wao wamegeuka kuwa wasifiaji kuliko ACT ipi ilikuwa Hoja ya Chadema kukataa ?? Hii Ni double standards.... Tutakuja kufukua hizi nyuzi...
Chadema hawakutaka kutumika kama Rubber Stamp. Katika vitu nawakubali Chadema ni ukomavu kwenye misimamo yao.

Kikosi kazi cha Mkandala kilikuwa kinatafuta kuungwa mkono na Chadema. Tukawashtukia kiko kazi kikawa Hewa hata mapendekezo yao Rais Samia aliyakataa na amefata mkondo mwingine ambao ulikuwa msimamo cha chadema.

Kalaghabahooo!!
 
Jamiiforums tupo viral [emoji1007][emoji419]
 
Back
Top Bottom