Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
290Tbc ni namba ngapi kwenye DSTV?
Kumbe ana mteruHiyo inaitwa homa ya furaha iliyo pitiliza
Wivu wa makalio wazi unatamani Dunia ipasuke uingie ndani.Samia hatuma muwakilishi😂😂😂😂😂😂🤣
UmekasirikaLeo bawacha inatumika kutangaza sera za ccm
Unafuatilia lakiniUmekasirika
Ndio naangaliaUnafuatilia lakini
Naam
Kwa mambo yanavyokwenda kunauwezekano CDM kuweka mgombea nafasi ya Urais?Walichofanya leo, watu hawatakielewa ila Chadema inatengeneza mazingira mazuri ili katiba iweze patikana.
Saa zingine inabidi ujinyenyekeze ili upate unachokitaka, watu hawataelewa ila ipo siku wataelewa.
Samia pia si mjinga kukubali
Mkuu kwanini usijinyonge tu tabu ya nini?Majibu ya kijinga kwa kukosa ushahidi. Waambie wavimba macho wenzako.Hapa ukileta tamko la kijinga lisilo na ushahidi lazima uhojiwe.Na burden of proof unayo wewe.
Asante
CCM itashinda mitaa/vijiji vingi kuliko upinzani.Uchaguzi wa 2024 Serikali za Mitaa utatoa muelekeo
Kuweka ni lazimaKwa mambo yanavyokwenda kunauwezekano CDM kuweka mgombea nafasi ya Urais?
Samia hatuma muwakilishi😂😂😂😂😂😂🤣
Sasa kama sisi ndio tulikula asali kwanini wawashwaTatizo nyie wanasiasa mnatuona sisi wananchi kuwa wajinga Sana. Ccm hawezi kufanya kitu kisichomnufaisha. Sisi tunajua ikifika kipindi Cha uchaguzi CCM huvaa joho lake, hayo mnayoita maridhiano msije kuyakataa 2025.
Yaani unasikiliza hotuba ya kiongozi wa UPINZANI halafu Haina tofauti na hotuba ya mwanaccm. Huo Ni uto to..
Mkiambiwa mmelewa Asali mnakuwa wakali..
Lini Upinzani umewahi washinda CCM?CCM itashinda mitaa/vijiji vingi kuliko upinzani.
Unaonaje ccm ilivyoteka ukumbiNdio naangalia