Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Yaliyopita si ndwele tugange yajayo na Katiba Mpya.
 
Unahisi hawatapata?
Ndio, kwasababu sio rahisi kuishinda CCM katika mazingira ya ushirikiano.

CCM ina uzoefu na mbinu zaidi ya 1000 za kuendelea kutawala taifa hili bila kupata ushindani wa NGUVU.
 
Women's tuko very smart.

Hatugawi ziwa kwamba hili kanyonya huyu all are same
 
Ndio, kwasababu sio rahisi kuishinda CCM katika mazingira ya ushirikiano.

CCM ina uzoefu na mbinu zaidi ya 1000 za kuendelea kutawala taifa hili bila kupata ushindani wa NGUVU.
Siasa za matusi hazina maana, sasa ni mwendo wa hoja tu..
 
Kwani unadhani kuna uchaguzi gani 2024?
Uchaguzi wa serikali za Mitaa ambao miaka yote CCM imekuwa ikiongoza kwa kushinda vijiji/mitaa mingi kuliko vyama vya upinzani kwa ujumla wao.

Huo mwelekeo wa 2024 unaozungumzia ni upi?
 
Ndio, kwasababu sio rahisi kuishinda CCM katika mazingira ya ushirikiano.

CCM ina uzoefu na mbinu zaidi ya 1000 za kuendelea kutawala taifa hili bila kupata ushindani wa NGUVU.
Wajinga Kama mmawia hawajui hili ... Mimi sitoshangaa ikiwa TAL atazikacha hizi siasa za Akina mmawia ...

Hizo siasa za Shukrani zinamjenga zaidi Samia kuliko Chadema na 2025 ...hakuna usawishi wataoueleza kwa wananchi...
 
Yapi anayoyafanya ewe mpumbavu?

Hayo anayofanya yanapunguza mfumuko wa bei uliolipuka hapa nchini?
Endelea kulilia kuna bandiko humu liliandikwa kuwa kunawatu wataishi kwa tabu baada ya babako kutoka
 
Uchaguzi wa serikali za Mitaa ambao miaka yote CCM imekuwa ikiongoza kwa kushinda vijiji/mitaa mingi kuliko vyama vya upinzani kwa ujumla wao.

Huo mwelekeo wa 2024 unaozungumzia ni upi?
2019 uchaguzi wa tamisemi CCM walishinda kwa 99%

Mwaka kesho itakuwa tofauti, na matokeo ya mwaka kesho ndiyo reflection ya matokeo ya 2025
 
Siasa za matusi hazina maana, sasa ni mwendo wa hoja tu..
Wapiga kura wengi huwa hawafuatilii kampeni za vyama vya siasa.

Unadhani kuna uwezekano wa wao kuchagua wagombea kwa kusikiliza hoja zao.

Binafsi naona, kwa asilimia kubwa wapiga kura huchagua kwasababu ya vyama vya wagombea na sio hoja za wagombea wa vyama vyao.
 
Uchaguzi wa serikali za Mitaa ambao miaka yote CCM imekuwa ikiongoza kwa kushinda vijiji/mitaa mingi kuliko vyama vya upinzani kwa ujumla wao.

Huo mwelekeo wa 2024 unaozungumzia ni upi?
Unajua mkuu Kuna vitu vinashangaza Sana ,,wakati ACT inahudhuria vile vikao vya mukandala CHADEMA walishambulia Sana lkn leo wao wamegeuka kuwa wasifiaji kuliko ACT ipi ilikuwa Hoja ya Chadema kukataa ?? Hii Ni double standards.... Tutakuja kufukua hizi nyuzi...
 
Back
Top Bottom