Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

Mkuu wa Mkoa mwenyewe kasema kuwa Yaliyopita yamepita, tugange yajayo
 
Uchaguzi wa 2024 Serikali za Mitaa utatoa muelekeo
 
Machadema roho zinawauma ila ndio hivyo wafanyaje mwenyekiti kaamua
 
Walichofanya leo, watu hawatakielewa ila Chadema inatengeneza mazingira mazuri ili katiba iweze patikana.

Saa zingine inabidi ujinyenyekeze ili upate unachokitaka, watu hawataelewa ila ipo siku wataelewa.

Samia pia si mjinga kukubali
Kwa mambo yanavyokwenda kunauwezekano CDM kuweka mgombea nafasi ya Urais?
 
Majibu ya kijinga kwa kukosa ushahidi. Waambie wavimba macho wenzako.Hapa ukileta tamko la kijinga lisilo na ushahidi lazima uhojiwe.Na burden of proof unayo wewe.
Mkuu kwanini usijinyonge tu tabu ya nini?
 
Samia hatuma muwakilishi😂😂😂😂😂😂🤣

Sasa kama sisi ndio tulikula asali kwanini wawashwa
 
Nimefurahi sana maana tumeheshimiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…