Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Zahera amewaonyesha nini msimu huu tofauti na mate mgando mdomoni.Watuoneshe basi magoli bora waliyofungwa 5+5+5+4
Najua kila kitu mkuu niliwahi kuona mgeni kaja nyumbani kavaa hivyo.ucjezan nakuingiza chaka mkuu,shuhudia mwenyeweView attachment 1112536View attachment 1112539
Lichukue mkasagie ile Tshirt ya Zahera na kofia yake itoe Juice la jasho mnywe na wachezaji wenu.Hilo ni kombe au blender,hahahaaa!
Mna nini nyie huko topeni... Tulia kamasi zipenye takoni.Hilo ni kombe au blender,hahahaaa!
Linaweza pia kuwasaidia kudumbukiza mia mia wanazochangiwa kama omba ombaLichukue mkasagie ile Tshirt ya Zahera na kofia yake itoe Juice la jasho mnywe na wachezaji wenu.
hahahaa bila shaka huyo mgen ilikua kavaa viatu vya samaki!Najua kila kitu mkuu niliwahi kuona mgeni kaja nyumbani kavaa hivyo.
Kwanza wasage ile Tshirt ya POLO itoe juice na vile vitaiti vya kocha wao wanywe.Linaweza pia kuwasaidia kudumbukiza mia mia wanazochangiwa kama omba omba
[emoji28][emoji28][emoji28]hahahaa bila shaka huyo mgen ilikua kavaa viatu vya samaki!
Wangevaa tofauti pia mngesema haahaa Yanga ni kama chama pinzani vile wanapinga kila kitu kinachofanywa na SimbaMijitu imevalishwa suti za kufanana kama mates au wapambe wa harusi teh! teh!
Utashikwa na vidonda vya tumbo bureMijitu imevalishwa suti za kufanana kama mates au wapambe wa harusi teh! teh!
Mbona alikuwepo Hyatt Regency!Yupo kwenye majaribio Sevilla.
Kuna John Bocco na Saimon Mlongo wanafanana sana. Wewe utakuwa uliona Saimon Mlongo.Mbona alikuwepo Hyatt Regency!
Ulitaka wavae shanga kama wachezaji wenu?Mijitu imevalishwa suti za kufanana kama mates au wapambe wa harusi teh! teh!
Acha ujinga wewe shabiki maandazi! Ungekuwa wewe ungekubali kuvalishwa sare tena zenye nembo kama watoto wa shule?Ulitaka wavae shanga kama wachezaji wenu?
Nenda uvae shanga zenu kwanza.Acha ujinga wewe shabiki maandazi! Ungekuwa wewe ungekubali kuvalishwa sare tena zenye nembo kama watoto wa shule?
Mimi sioni la maana hapa ni ujinga ujinga tu unaendelea.Mikia mna shida sana aisee!