MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

Kwa sasa tuzo (medali)zinatolewa kwa wachezaji wooote, benchi zima la ufundi, bodi ya wakurugenzi. Spika ndio anatoa medani.
 
Mijitu imevalishwa suti za kufanana kama mates au wapambe wa harusi teh! teh!
 
Let's give the credit when it's jue japo mm yanga ila naona tunasafari ndefu yakuwakamata wenzetu, simba wameanza kutuacha mbali sana tusipo jipanga tukabaki kupiga polojo itakula kwetu.
 
Back
Top Bottom