Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kama kawa, Mpoki karudishwa tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GauchoTuzo inayofuta. Mchezaji bora wa kike. Simba queens.
Tuzo haina washiriki, ila alishachaguliwa. Tuzo anakabidhi Flaviana Matata.
Mshindi Mwanahamisi Omary Shurua
Hii tuzo ya wachezaji sijaielewaKama kawa, Mpoki karudishwa tena
Wachezaji wa simba wao wamemchagua mchezaji walioona ni bora msimu huuHii tuzo ya wachezaji sijaielewa
Siyo kidogo, yani wanafanya mambo kama watoto. Ila unaeza kuta ni watu na elimu zao kubwa.Ila hawa watu wa IT wanazingua kimtindo..
Hii suti imekuwa exported from QATAR na international designer wamehusika hapo
Category zake zinaushindani sana,hawezi kupenyaHivi Kwamba Okwi Hastahili Tuzo Yoyote Kutoka Simba?
hizo shoes huvaliwa na visocs flan vdg havionekan ndo mikato ya skuiz mkuu!Meddie Kagere, James Kotei na Kwasi walipaswa kuvaa soksi ili kuwa maridadi zaidi.
Wataalamu wa fashion au usukuma wangu uko nyuma ya wakati?
Category zake zinaushindani sana,hawezi kupenya
Dah sawa mtaalamu wa suti..hizo shoes huvaliwa na visocs flan vdg havionekan ndo mikato ya skuiz mkuu!