Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Nadhani hawakutegemea hili! Kwao ni pigo kubwa sana Israel kwa status wanayojihisi wanayo!Mheshimiwa leo Israel wanalalamika eti mahakama inawasaidia magaidi 😄 🤣 Sa ikiwa Shetanyahu na Gallant sio magaidi ni nani wao? Israel yote ni magaidi afu wanadai wanapiga magaidi.
Ijapokuwa hatoweza kukamatwa ila kitendo cha kutolewa hiyo arrest warrants juu yake kimeshamchafua pakubwa!
Lazima ataongea tu Netanyahu huwa hawezi kumezea mambo! Sipati picha atajiteteaje kwenye ulimwengu ambao makosa yake yanafahamika!