Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

Mheshimiwa leo Israel wanalalamika eti mahakama inawasaidia magaidi 😄 🤣 Sa ikiwa Shetanyahu na Gallant sio magaidi ni nani wao? Israel yote ni magaidi afu wanadai wanapiga magaidi.
Nadhani hawakutegemea hili! Kwao ni pigo kubwa sana Israel kwa status wanayojihisi wanayo!

Ijapokuwa hatoweza kukamatwa ila kitendo cha kutolewa hiyo arrest warrants juu yake kimeshamchafua pakubwa!

Lazima ataongea tu Netanyahu huwa hawezi kumezea mambo! Sipati picha atajiteteaje kwenye ulimwengu ambao makosa yake yanafahamika!
 
Adui wa Allah ndie aliyempa Muhammad utume. ulishawah kusoma hapo mkuu
Qur'an ipo clear wacha ujinga. Qur'an inasema hivi; Ambaye ni adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Gabriel na Mikaeli, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri.

Sababu kwenye Qur'an 2.97-98
Mayahudi ni Maadui wa Gabriel
Ayah hii (2:97-98) iliteremka kwa kuwajibu Mayahudi waliodai kuwa Gabriel ni adui wa Mayahudi na Mikaeli ni rafiki yao.
 
Mateka wapo hapo hapo Ghaza wafate masharaiti ya hamas uone hao mateka kama hawataibuliwa hapo hapo intelijensia ya israhell jeshi la Israhell yalikua over rated sana ila kiuhalisia tumejionea
Unajua nini kimemfanya US a veto against maamuzi ya baraza la usalama la umoja wa mataifa?
Mateka.
Israel anatumia mateka kama kigezo cha kuendeleza vita na maarabu yalivyo mazombie yameamua kung'ang'ania watu 200 at the expense ya vifo vya watu zaidi ya 50k.
Myahudi ana roho mbaya hana cha salia mtume atawafirimba hawataamini
 
Zayuni atakula kipigo hata amini yaani
 
Qur'an ipo clear wacha ujinga. Qur'an inasema hivi; Ambaye ni adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Gabriel na Mikaeli, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri.

Sababu kwenye Qur'an 2.97-98
Mayahudi ni Maadui wa Gabriel
Ayah hii (2:97-98) iliteremka kwa kuwajibu Mayahudi waliodai kuwa Gabriel ni adui wa Mayahudi na Mikaeli ni rafiki yao.
Hiv Muhammad alivyokuwa anawasilimisha majini walikuja katika mwili gan
 
We ni mpumbafu nimekupa majibu unaleta ushoga wako hapa, unapo uliza swali stick to the 👉

Haya nakujibu hili swali unauliza Mtume Muhammad aliwasalimisha majini kwa umbo gani. Kwanza elewa Mtume Muhammad huwezi kumfananisha na watu kama mimi na wewe. Mtume anaona vitu ambavyo wewe huwezi kuviona na binadamu wengine.

Pili jini anaweza kuja kwa njia ya binadamu, mnyama, nyoka na etc. We unashangaa Mtume Muhammad kuwasalimisha majini, hujashangaa Mtume Suleiman ambaye mnamuita King Suleiman akiongea mpaa na sisimizi 😄 🤣

Kuzeni akili zenu ndio mana mlipo ona miujiza ya Yesu, mkamuita Mungu au mtoto wa Mungu kwa ufala wenu.

Usishangae fimbo ya Mussa kugeika kuwa nyoka, ukashangae Mtume Muhammad kuona majini wakiwa kwenye umbo la ubinadamu, kondoo, punda, nyoka. Swali vipi Mussa alishika nyoka au alikuwa mchawi kama alivyo sema Firauni na wachawi wake.

Usishangae Mtume Ibrahim kutupwa ndani ya moto na hakungua, ushangae au uone ajabu Mtume Muhammad kuwasalimisha majini? Kasome vitabu upate akili Mungu aliumba Majini na Binadamu wamuabudu, ndio mana Shetani alilaniwa hakufata alicho amrishwa na Mungu afanye. Mana ya kumuabudu Mungu ni kufata amri zake. Kwa hio wako binadamu ni mashetani kama vile wewe na wako majini wamejisalimisha kwa Mungu kwa kutii amri zake. Warabu wanasema moto hauzai moto unazaa majivu kwa hio sio kila jini ataenda motoni na sio kila binadamu ataenda peponi.
 
Punguza hasira. Biblia inatuambia hasira hukaa kifuan mwa mpumbavu. Pili kwetu sisi Muhammad ni Mtu wa kawaida tu kama wewe hajawah kuwa mtume na hatakuwa mtume. Tatu nionyeshe mahali katika Qur'an Muhammad amesilimu. Kwa taarifa yako amekufa akiwa kafiri kama mnavyoita.
 
Bibilia ya Paulo ndio inasema vile sio, we utuletee ujinga hapa tukuwache, unaona nilipo kujibu umekimbilia ujinga mwingine na pia nakujibu. Kwa hio kutokana na bibilia zenu Yesu alikuwa mpumbavu sio.
Even Jesus got angry. There are five instances recorded in the Gospels (Matthew, Mark, Luke, John) where Jesus got angry.

Mtume Muhammad katika Ummah wake yeye ni Muislam wa kwanza kufata Uislam
Qur'an 6.14
Say, ˹O Prophet,˺ “Will I take any guardian other than Allah, the Originator of the heavens and the earth, Who provides for all and is not in need of provision?” Say, “I have been commanded to be the first to submit and not be one of the polytheists.”
 
Nani alimsilimisha
 
Tatizo hujui nini mana ya kuwa Muslim ni yule anaye fata mafunzo ya Mungu sio ya Paulo 🤣
Nimekuambia Muhammad ni kafir mwenzangu husikii hakuna mahali alisilimishwa. Pia niulize swali. Majin maislam yana swali wapi. Au ndio kama yale Dr sule alituambia yamejenga msikiti huko comoro
 
Wewe kama kichaa ni wewe Mtume Muhammad yeye ndiye kapokea Qur'an yeye ndiye kafundisha katika Ummah wake kusali vipi awe kafiri, hivi wewe zinakutosha kweli.

Hivi wewe u adhani kwenye akili yako hakuna jini anakula sahani moja na wewe akitaka, we unadhani jini utamuona kama hataki umuone. Nilisha kujibu kule wako majini wanakuja na umbo la kibindamu wanasali kabisa we huwezi kuwagundua.
 
Kwahiyo ili uwe muislamu huhitaji kusilimishwa? Na kumbe uislamu ni dini haikuwepo kabla ya mtume?
 
Wanaukumbi.

Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote atakayemrejesha mateka kutoka Gaza.

Kwa maaan hiyo jeshi limeshindwa, Mossad, wameshindwa, Marekani na Ulaya wameshindwa.

Sasa wanawaomba wale wanaowapiga mabomu na kuuwa watoto wao leo hii wanataka wawasadie kuwapa pesa wawaonyeshe walipo mateka watawapa pesa.

Hamas, walisema kweli kuwa hata mfanye nini hamuwezi kuwapata mateka wenu.

JANAA NILIKWAMBIA MKUU KATANGAZA USIKU ANAPIGA KAZI BEIRUT NA GAZA UMEONA WANGAPI WAKO NA WALE MABIKIRA 72 MDA HUU..ANGALIA AL JAZEERA
 
Kwaiyo ushindi wenu kuuwa raia kitu kinapnigwa nasheria zote za Dunia. Adi uyo Netanyahu katolewa Hati kisa raia lkn nyinyi vuvuzela mnasifia maguvu ya Israel kwakuuwa watu wasio na Hatia alafu mlizo akili zenu za kichaaa bado mtaita Hamas Magaid yani jesh lenu linauwa watoto wamama sio la kiGaid lkn awa mnaowauwa vitoto ndio magaid, jua kali sana isije kuwa namjibu yule mlokole yupo juani saii anafoka na shetani!!!!
 
Hao mateka hata HAMAS wenyewe hawajui wako wapi, walipokeza kwenye nyumba za wananchi wa kawaida na ndio maana ilibidi mpigwe nyote makobaz, maana hamna mzuri, utakuta labda Kuna mateka wameletwa hadi huku Africa wamefichwa na makobaz
 
Yahudi jeusi la Tarime linatoa tamko😂
 
Back
Top Bottom