Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Yote yanawezekana...
1 - Usaliti wa serikali ya Lebanon kwa kuingiza majasusi ndani ya Hezbollah kwa msaada wa Mossad
2- Usaliti katika serikali ya Iran, Mossad kuingiza majasusi wake, arab jews ni kama waarabu tu lakini ni jews.

Mambo ni magumu..
Hivi ni lini Israel imepigana vita peke yake tu bila msaada wowote ule wa Marekani?

Mimi naamini kabisa wakiachwa tu wapigane peke yao, huo ndo utakuwa mwanzo wa mwisho wao!

Imagine tu hivi sasa pamoja na msaada wa Marekani na washirika wake, bado hayo makundi ya wanamgambo yanawachachafya.

Na kusema ukweli, hawawezi wakawamaliza Hamas, Hezbollah, wala Wahouth.

Na ipo siku hata viongozi wao [Israel] watauliwa tu.

Inaweza isiwe leo, kesho, au hata keshokutwa. Ipo tu siku watamla kichwa kiongozi wa Israel.

Hii vita haina mwisho. Ni kuviziana tu na kulana vichwa.

Naamini hata huko Tel Aviv akina Netanyahu hawalali kwa amani sasa hivi.
 
kinqchofwata watapakwa haya matafuu
 

Attachments

  • 1727617188224.jpg
    104.7 KB · Views: 2
  • 1727649193226.jpg
    357.5 KB · Views: 2
 DIDYNAZATION
 

Attachments

  • Screenshot_20240929-231404_Lite.jpg
    320.1 KB · Views: 2
Wapo vizur wameshindwa kuwapata mateka?
 
Kwa vile ww ni mdini. Unamaanisha hivi vita anlikuwa anapigana Israel dhidi ya Naßlallah peke yake?
 
Kwa vile ww ni mdini. Unamaanisha hivi vita anlikuwa anapigana Israel dhidi ya Naßlallah peke yake?
Hivi haya ya udini mmetoa wapi?
Mi nilishaacha huo ujinga kuzungumzia udini...
Hebu kawaulize masheikh na wachungaji, huu ujinga sina jibu...
 
Mr Cohen alimalizwa kishamba sana baada ya kujisahau
Hata kama ni wewe ungemalizwa usiseme kishamba, walio fanikisha hilo ni KGB.
KGB ilikuwa inatoshana na CIA, ogopa sana.. Hao michezo yao Mossad alikuwa hawezi, mtot mdogo.
 
Mbinu ya muda mrefu ambayo Hezbollah na Hamas walikuwa wakiitumia ya kujificha kwenye mahandaki sio salama tena.

Anga la Lebanon kukaa wazi ni threat, Iran ni muda sasa kupeleka air defenses kama bavar yao waliotengeneza. Wapeleke pia na AAA(Anti Aircraft Artillery)

US anampa Israel wamepata mbinu ya kuwadungua viongozi wa Hezbollah chini ya ardhi.

Wajitathmini...
 
Hii kweli
 
Ili hilo lifanikiwe ni muda sasa Iran iwapatie proxies wake vifaa vya kisasa vya kivita na mitambo ya ulinzi wa anga, njia ambazo wamekuwa wakizitumia kwa muda mrefu sasa na kuonyesha mafanikio makubwa hivi sasa haifanyi kazi tena, dawa yake imepatikana.

Hii mbinu ya kutumia tunnels na mahandaki kujificha imepitwa na wakati na ni ya kienyeji sana, US na Israel wana heavy bombs sasa za kugeuza handaki kuwa kaburi.

Proxies wa Iran wanatumia uwezo binafsi, ujasiri na kujitoa mhanga isivyo kawaida na silaha zao duni kupambana na US/Israel. Na hapo nakubaliana na wewe hao jamaa wakipewa silaha za kisasa na resources mbali mbali Israel inaweza kuhamishwa ikapelekwa Africa.
 
Hezbollah yeye anapigana vita peke yake?
 
Upo sahihi, Israel bila msaada wa Marekani itakuwa na wakati mgumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…