MOSSAD yawaua maofisa wake sita kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

Utawala wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran.

Maajenti wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad walipanga kuripua kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan, lakini walikamatwa na wizara ya intelijensia ya Iran kabla ya kutekeleza operesheni yao hiyo.

Mossad, ambayo ilihisi kufichuliwa kwa operesheni yake hiyo tata ya hujuma ni pigo na kashfa kubwa kwake, iliona kwa dhana yake, ili kuzuia kupenya vyombo vya usalama vya Iran ndani ya shirika hilo, haina budi kuwaangamiza maafisa hao wote ili pengine iweze kuwalinda maajenti wake wengine waliosalia na kuendeleza mawasiliano nao.

Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la Tasnim, kufuatia operesheni tata ya usalama ya Mossad ya kutaka kuhujumu kituo kimoja cha viwanda cha Esfahan, iliyopelekea kukamatwa watekelezaji wake wote na wizara ya intelijensia ya Iran, mbali na kumtimua afisa wake anayehusika na kitengo cha Iran, shirika la ujasusi la utawala huo liliwaondoa pia maafisa wake sita muhimu wa kitengo hicho kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na vikosi vya usalama vya Iran na baadaye kuwaua kwa sura tofauti.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, utawala wa Israel umethibitisha kuuliwa watu hao sita wakati walipokuwa wakihojiwa na ambao majina yao ni Tomer Ixeg, Ayalon Shapira, Sharon Small, Shayli Westland, Ofek Aharon na Itamar Al-Harar.

Ripoti hiyo imeongeza kuwa, maafisa wengine kadhaa wa Kiisrael wameuliwa na kitengo cha kupambana na ujasusi cha Mossad kwa njia tofauti, ikiwa ni pamoja na matukio ya ajali ya gari, lakini idadi yao halisi na hatima hasa iliyowafika haijulikani

4c0y25e3f7183425ty6_800C450.jpg
 
Kawaida Kwa Mossad waliwahi kumkosea target Norway wakimvizia target msyria huko wakaishia kukamatwa na polisi wa kawaida tu.

Wakabadisha kabisa mfumo wao na kusitisha hujuma Kwa target zao bara la ulaya karibu miaka kumi.
Pia inaweza kuwa ni zuga tu wazayuni wanaexist middle east Kwa sababu ya intelligence na sio vinginevyo.
 
Tasnim ni shirika la habari la nchi gani?
MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

Utawala wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran.

Maajenti wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad walipanga kuripua kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan, lakini walikamatwa na wizara ya intelijensia ya Iran kabla ya kutekeleza operesheni yao hiyo.

Mossad, ambayo ilihisi kufichuliwa kwa operesheni yake hiyo tata ya hujuma ni pigo na kashfa kubwa kwake, iliona kwa dhana yake, ili kuzuia kupenya vyombo vya usalama vya Iran ndani ya shirika hilo, haina budi kuwaangamiza maafisa hao wote ili pengine iweze kuwalinda maajenti wake wengine waliosalia na kuendeleza mawasiliano nao.

Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la Tasnim, kufuatia operesheni tata ya usalama ya Mossad ya kutaka kuhujumu kituo kimoja cha viwanda cha Esfahan, iliyopelekea kukamatwa watekelezaji wake wote na wizara ya intelijensia ya Iran, mbali na kumtimua afisa wake anayehusika na kitengo cha Iran, shirika la ujasusi la utawala huo liliwaondoa pia maafisa wake sita muhimu wa kitengo hicho kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na vikosi vya usalama vya Iran na baadaye kuwaua kwa sura tofauti.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, utawala wa Israel umethibitisha kuuliwa watu hao sita wakati walipokuwa wakihojiwa na ambao majina yao ni Tomer Ixeg, Ayalon Shapira, Sharon Small, Shayli Westland, Ofek Aharon na Itamar Al-Harar.

Ripoti hiyo imeongeza kuwa, maafisa wengine kadhaa wa Kiisrael wameuliwa na kitengo cha kupambana na ujasusi cha Mossad kwa njia tofauti, ikiwa ni pamoja na matukio ya ajali ya gari, lakini idadi yao halisi na hatima hasa iliyowafika haijulikani

View attachment 2392964
 
Wala nguruwe kazi ipo! Mshaanza kuuawana huko! Wayahudi waliolaaniwa
 
Kumbe bado tu unaendelea kuwalisha watu Matango Pori!!Mimi nilijua ulishakufa zamani!!.Hiyo habari yako Uchwara hebu tupe Source yake!!
 
mzee wa propaganda za muqwama
hao wagent wame uliwa wakiwa chini ya ulinzi wa wana usalama wa iran?
jibu kwanza hili kisha nikupige swali la pili we kima sorry kim kardash
 
Back
Top Bottom