MOSSAD yawaua maofisa wake sita kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

MOSSAD yawaua maofisa wake sita kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

Kawaida Kwa Mossad waliwahi kumkosea target Norway wakimvizia target msyria huko wakaishia kukamatwa na polisi wa kawaida tu.

Wakabadisha kabisa mfumo wao na kusitisha hujuma Kwa target zao bara la ulaya karibu miaka kumi.
Pia inaweza kuwa ni zuga tu wazayuni wanaexist middle east Kwa sababu ya intelligence na sio vinginevyo.
Ni kweli....makosa yanatokea sana tu kwenye hizo harakati maana wahusika nao pia ni binadamu.
 
Back
Top Bottom