MOSSAD yawaua maofisa wake sita kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran

Mwongo Mwongo na wewe mtoa hoja ni mwongo mkubwa, bila shaka umekulia kwenye malezi ya UUongona utatuletea familia ya uongo, mossad wameingia hapo Malaysia 🇲🇾 na kulala mbele na member wa kipalestina, hii ndio habari mpya hapo middle east, drones za iran, protests za iran kuhusiana ni hijabs,acha uongo
 
Chanzo cha taarifa hii ni kipi?; infact, kijasusi, hii ni moja ya taarifa ambayo ni ngumu kuipata. Kwa uhalisia, kazi kama hii inapotekelezwa ni vigumu hata walioko ndani kujua kama mwenzao amekuwa assasinated kwa sababu amshindwa kutekeleza jukumu. Taarifa hii inatia mashaka mengi
 
Habari sensitive namna hiyo haiwezi kuja kirahisi hivyo, hapo kuna mambo matatu; either kuna further information zinatafutwa au ni zuga ili watekeleze mission fulani or else habari ni from invalid sources
 

Wameanza kuuwana wao kwa wao, na badoo, laanatullah alayhim.
Mwisho wao utakua mbaya sana, laana inaendelea kuwatesa..


God bless Palestina
 
Uongo
Picha zilizotumika jaribu google search hiyo image uone itakuletea nini
 
Wameanza kuuwana wao kwa wao, na badoo, laanatullah alayhim.
Mwisho wao utakua mbaya sana, laana inaendelea kuwatesa..


God bless Palestina

Hizo ni ndoto za mwendawazimu endelea kuota!!!
 
Ila kati ya kazi ngumu zilizopo hata duniani; hii pia inaweza kuwa ni mojawapo. Kwanza kile kitendo cha kutakiwa kuwa SMART muda wote ni kazi ngumu sana. Kwa sababu ukiteleza kidogo tu you are gone halafu muda huo huo wenzako wanakuwa hawakujui, na wanaendlelea kula bata tu. Kweli kazi ngumu duniani zipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…