Kawaida Kwa Mossad waliwahi kumkosea target Norway wakimvizia target msyria huko wakaishia kukamatwa na polisi wa kawaida tu.
Wakabadisha kabisa mfumo wao na kusitisha hujuma Kwa target zao bara la ulaya karibu miaka kumi.
Pia inaweza kuwa ni zuga tu wazayuni wanaexist middle east Kwa sababu ya intelligence na sio vinginevyo.