Most beautiful MPs 2015-2020

Most beautiful MPs 2015-2020

Kiukweli bint Bulembo ni mzuri sn na huwa nakapenda sn haka kabinti afu ndo anashikilia rekodi ya kuingia bungeni akiwa na umri mdogo kuliko wote, 23.
 
Wafuatao ni wabunge warembo zaidi katika lililokuwa bunge la 2015-2020 lililovunjwa mwezi huu June 16

1. Upendo Peneza

Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA akiwakilisha mkoa wa Geita

View attachment 1484495

2. Halima Bulembo

Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CCM.

View attachment 1484498

3. Bonnah Kalua

Huyu alikuwa mbunge wa jimbo la segerea kwa tiketi ya CCM.

View attachment 1484496

4. Ester Matiko

Huyu alikuwa mbunge wa Tarime mjini kwa tiketi ya CHADEMA.

View attachment 1484497

5. Catherine Ruge

Huyu ni mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA.

View attachment 1484499

Mimi kwa upande wangu nimeona hao tu, ruksa kuongezea katika orodha. Je, wewe kwa upande wako unaona ni mbunge gani mwingine alikuwa mrembo zaidi katika bunge la Ndugai la 2015-2020.
Wapi Catherine Magige?
 
IMG_20200622_212812.jpg
IMG_20200622_212812.jpg
 
Back
Top Bottom