Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ladies n gentleman
Unaamaanisha viti maalumu ndo warembo wengi wanapatikana!? Why?
Toba
Wapi Catherine Magige?Wafuatao ni wabunge warembo zaidi katika lililokuwa bunge la 2015-2020 lililovunjwa mwezi huu June 16
1. Upendo Peneza
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA akiwakilisha mkoa wa Geita
View attachment 1484495
2. Halima Bulembo
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1484498
3. Bonnah Kalua
Huyu alikuwa mbunge wa jimbo la segerea kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1484496
4. Ester Matiko
Huyu alikuwa mbunge wa Tarime mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 1484497
5. Catherine Ruge
Huyu ni mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 1484499
Mimi kwa upande wangu nimeona hao tu, ruksa kuongezea katika orodha. Je, wewe kwa upande wako unaona ni mbunge gani mwingine alikuwa mrembo zaidi katika bunge la Ndugai la 2015-2020.
Nimerudia mara mbili mbili nami sijamuona.Wapi Catherine Magige?
kumbe cdma kuna visuToba
Ila ana takle.Ivi huyu alienda bungeni kufanya nn, mbona sijawahi kumsikia hata siku moja akichangia hoja
Hivi mnamjua Zuhura??Upendo na bonnah ni balaaa
Bonnah kakamilika kila idara aise
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]halima naye hasikii Wala kumheshimu babake Kuna siku mzee baba alimsema Halima Sasa babake kakasirikaIla Zitto Ana dhambi sana kamkaza mtoto WA Bulembo hadi mzee wa watu kamaindi[emoji38]