Most expensive schools in Tanzania

Umenena vyema. Akili za kimaskini Siku zote ni fupi sana. Hatufikirii strategically, tunawaza leo leo tu.
 
Afuu akitoka hapo analipwa mshahara laki 4 kwa mwezii... haa ha ha..!!
Thubutuuuuu. Mkuu hadi hapo wanaosoma hizo shule sio watoto wa kajamba nani. Hao tayari washaandaliwa maisha wanasoma wanamaliza position zao wanazikuta. Hakuna anayeenda kufundisha tandahimba hapo
 
wazo zuri shida waalimu na vitendea kazi havipo
 
Nahitaji kutafiti kubaini ni mawaziri na manaibu wangapi watoto wao Wanasoma kupitia elimu bure Ni wabunge wangapi watoto wao wananufaika kupitia elimu bure Ni makatibu wangapi wa utumishi wa umma watoto wao wanasoma kupitia elimu bure Hebu tufanye utafiti wa hili
 
Hakuna kitu kama hicho, jana nimepeleka wadogo zangu form one elimu bure Mzazi unaambiwa kwenda na ndoo ya lita kumi kwaajili ya kukalia hakuna viti, walimu wa sayansi pia hakuna....
 
Umeongea mkuu unastahili kutunukiwa!!
 
Primary School. Lakini mtoto anataka akiwa safi upstairs ,
Kwa kweli nakubaliana na wewe. Dunia imebadilika, tunapoelekea huko mbele, vyeti havitaangaliwa tena bali exposure ya mtu, communication skills, confidence, nk. Yaani wanasema 'soft skills' maana kila mtu cheti anacho.
 
Most of these schools are situated in Dar and Arusha. What is the implication on these two regions? ISM have a campus in Arusha.
Ni makazi ya wenye hela. Mabarozi nawafangakazi wa kimataifa. Mtanzania wa kawaida hawezi
 
Tatizo sizai tena na wakati nikizaa shule hizi sikuzisikia. Dah! Wakati ungerudishwa nyuma mbona hapo ndo pa kuwapeleka wanangu 14 Mola alonijalia na wote wamemaliza chuo kikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…