Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
[emoji23][emoji23][emoji23] dreams are valid mkuu.Daaah ngoja ni hustle namimi mwanang nimpeleke akafute tongotongo japo mhula mmoja halafu anarudi kumalizia mzimuni primary school
Hebu nielezee validity za dreams kwa constructive arguments. .[emoji23][emoji23][emoji23] dreams are valid mkuu.
Dhambi sana! Ngoja nikomae kutafuta hela hata mjukuu mmoja ntamtupa huko kama kwa watoto imeshindikana [emoji24].Nadhani pia mtaala unakuwa updated kila mwaka kuendana na current worlwide trends za kisiasa,biashara,teknolojia na uchumi.
Tofauti na sie wa kayumba tuliofundishwa mambo ya pendulum bob na mpaka wanafunzi wa mwaka 2090 watasoma hayo hayo. Leo hii ukizungumzia hybrid technology kwenye physics hamna mtu anaejua zaidi ya wale wanafunzi wafuatiliaji wa habari za dunia ambazo hazipo kwenye syllabus
Unanichosha mkuu mi mwenyewe ni st kayumba. AghhhrrrHebu nielezee validity za dreams kwa constructive arguments. .
Mi mwenyewe wewe ndo umenikumbusha mbali... Ukapotelea wapi?hahaaaa etu uhuni wa Kantalamba... Duh umenikumbusha mbali hiyo shule
International baccalaureateIB kirefu chake ni nini?
Dah alikuwa ananuka mdomo aiseeDah umenikumbusha yule manzi wangu mtoto kutoka Cameroon Reggina Sinsai alikua anasoma Braeburn -Kisongo, Arusha..
Ndo unajifariji ivo sio.....poleeeehiyo fees ni gharama ya spaghetti, swimming pool,sausage na wengi wanajifunzia kulamba unga huko,Anamaliza shule hata kufua nguo hajui na ukipata bahati mbaya ukao aliyepitia huko watoto watakuwa wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa
Halafu watanzania wengine wanashangilia kutolipa 70,000/= ya chakula.
Nlikuwa nataka nimpeleke mwanangu hapo nlivyoona hiyo ada nkasema hapana huo uwezo sina kwa sasa
Mkuu inaonekana kuandika Kiswahili ni mtihani. Naomba uandike kwa kutumia ile lugha ya Malkia.Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliosoma ST,CONSTANTINE (Arusha)
Wakti huo ilikua haijajengwa secondry school
Nilimaliza la 7 nikaendelea ISM international school moshi
Hadi form3 wakani promot GRENJ SECONDRY SHOOL jijini Nairobi
Kwa mwenye swali kuhusiana na shule hizi aniulize nitamjibu tu
Alafu akimaliza shule Kazi basic salary laki NNE,unazidiwa kipato hata na muuza machungwa wa city center. Akitoka huko anasotea job naeNilishawai kwenda kumuulizia Dogo ....maana alikuwa anasoma urusii sasa akarudi bongo kabla hajamaliza ..tukaenda kuangalia mtaara wao .....daah ebwana watoto wanapelekwa na range au v8 ...schools bus zao sasa daaah ....ila wapo watoto wa kibongo nao wanasomaa
MTU anaelipa ada 65 million per year hawezi kuajiliwa akapewa laki 4.......kuna watu wanalipwa milion 16 per month ....kwnza mshahara ni makubaliano unaweza kukataa [emoji120] sema shida zetu wabongo unalipwa laki 4 afu bado unawaza kuoaAlafu akimaliza shule Kazi basic salary laki NNE,unazidiwa kipato hata na muuza machungwa wa city center. Akitoka huko anasotea job nae
na mm nilitaka kusema hivyohivyoMost of these schools are situated in Dar and Arusha. What is the implication on these two regions? ISM have a campus in Arusha.