Most expensive schools in Tanzania

Most expensive schools in Tanzania

Nadhani pia mtaala unakuwa updated kila mwaka kuendana na current worlwide trends za kisiasa,biashara,teknolojia na uchumi.

Tofauti na sie wa kayumba tuliofundishwa mambo ya pendulum bob na mpaka wanafunzi wa mwaka 2090 watasoma hayo hayo. Leo hii ukizungumzia hybrid technology kwenye physics hamna mtu anaejua zaidi ya wale wanafunzi wafuatiliaji wa habari za dunia ambazo hazipo kwenye syllabus
Dhambi sana! Ngoja nikomae kutafuta hela hata mjukuu mmoja ntamtupa huko kama kwa watoto imeshindikana [emoji24].
 
hiyo fees ni gharama ya spaghetti, swimming pool,sausage na wengi wanajifunzia kulamba unga huko,Anamaliza shule hata kufua nguo hajui na ukipata bahati mbaya ukao aliyepitia huko watoto watakuwa wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa
Ndo unajifariji ivo sio.....poleeee
 
Nilishawai kwenda kumuulizia Dogo ....maana alikuwa anasoma urusii sasa akarudi bongo kabla hajamaliza ..tukaenda kuangalia mtaara wao .....daah ebwana watoto wanapelekwa na range au v8 ...schools bus zao sasa daaah ....ila wapo watoto wa kibongo nao wanasomaa
 
78446162fcf1526801d613b7ee2e64b7.jpg

Nlikuwa nataka nimpeleke mwanangu hapo nlivyoona hiyo ada nkasema hapana huo uwezo sina kwa sasa
Halafu watanzania wengine wanashangilia kutolipa 70,000/= ya chakula.
 
Mimi ni miongoni mwa wanafunzi waliosoma ST,CONSTANTINE (Arusha)
Wakti huo ilikua haijajengwa secondry school
Nilimaliza la 7 nikaendelea ISM international school moshi
Hadi form3 wakani promot GRENJ SECONDRY SHOOL jijini Nairobi
Kwa mwenye swali kuhusiana na shule hizi aniulize nitamjibu tu
Mkuu inaonekana kuandika Kiswahili ni mtihani. Naomba uandike kwa kutumia ile lugha ya Malkia.
 
Nilishawai kwenda kumuulizia Dogo ....maana alikuwa anasoma urusii sasa akarudi bongo kabla hajamaliza ..tukaenda kuangalia mtaara wao .....daah ebwana watoto wanapelekwa na range au v8 ...schools bus zao sasa daaah ....ila wapo watoto wa kibongo nao wanasomaa
Alafu akimaliza shule Kazi basic salary laki NNE,unazidiwa kipato hata na muuza machungwa wa city center. Akitoka huko anasotea job nae
 
Alafu akimaliza shule Kazi basic salary laki NNE,unazidiwa kipato hata na muuza machungwa wa city center. Akitoka huko anasotea job nae
MTU anaelipa ada 65 million per year hawezi kuajiliwa akapewa laki 4.......kuna watu wanalipwa milion 16 per month ....kwnza mshahara ni makubaliano unaweza kukataa [emoji120] sema shida zetu wabongo unalipwa laki 4 afu bado unawaza kuoa
 
Ndizo shule zinazoongoza kwa kufuga mipunga na michele
 
Back
Top Bottom