Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Wakati huku kwetu watoto wakiagizwa hela ya chakula elfu 80 kwa mwaka tunaona ghali???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anamaliza shule ana ugonjwa wa kisukari na presha.Unaanza kumpeleka tena INDIA APOLLO he he !unaanza na hela na unamalizia na helaCornflakes labda
Hata makongo naipenda sn mkuuPigana kidume mtoto asome,shule uipendayo mzazi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu unanichekesha saana.anamaliza shule ana ugonjwa wa kisukari na presha.Unaanza kumpeleka tena INDIA APOLLO he he !unaanza na hela na unamalizia na hela
Mleee mtoto katika njia impasayo naye hatooacha hata atakapo kuwa Mzee. Ukikimbia jukumu la kumlea mwanao, shetani atakusaidia kumlea. Mfundishe mwanao kuisikia sauti ya Mungu Na kuitii.Hata wewe hutakubali kuona motto wako aliyekuwa na malezi bora karudi likizo nyumbani na kiingereza kizuri ila ni teja.
Investigation bro!!nchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.
Kwa mwaka mmoja tuHiyo kwa mwaka au mpka akimaliza elimu yake
Mmh hy mie baba mtu isikubali ,na wazazi hawakufikilia kunipelekaHata makongo naipenda sn mkuu
Kwani hatozaliwa!Kumbe hata hajazaliwa
Mkuu unahesabu vifaranga kwa kuku anaetaga?Kwani hatozaliwa!
ha ha ha kuna mtoto wa ndugu yangu ananiuma sana yupo sasa sober house kwani alianza kwenye hizi shule kuanzia kindergareten kidogo kidogo akajifunza kula unga na alipofika sekondari lugha ilikuwa nzuri ila tabia ni sifuri.wazee wake wametumia hela nyingi shuleni na sasa wanatumia hela kumlipia gharama ya sober house[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu unanichekesha saana.
Kweli una maono hasi kuhusu hizi shule.
Somehow lakini wengi wao huwa wanakuwa ma-lazzy linapokuja suala zima la kukabiliana na changamoto ktk fields za maisha.Ila hzo shule watoto wake wanaosoma wanakuaga ma genius,..achana na u genius wa kukariri huu wa saint kayumba,..hawa madogo mfano wa hyo IST,..wanakuaga wanajua mambo meng sana,hata umchukue mtoto wa primary ukae uongee nae maswala yenye mantik,atakustaajabisha,so ukute sasa ana akili za kuzaliwa ndo utakubal..
Kwa hiyo baby shower hazina maana!Mkuu unahesabu vifaranga kwa kuku anaetaga?
nimekuelewa sana mkuu,kula 5 kwa mbaali. income mtu unayopata miaka kumi mwngne ni chenji ya miez kadhaa..Milioni 9 ×12=Milioni 108,Le boss akitoa ada ya mtoto mmoja ambayo ni million 65 atabakiwa na Milioni 43,assume ana watoto wawili,hapo ndo double standard itachukua mkondo wake na mwisho kuukubali ukweli kwamba IKULU sio top kwa kila kitu. Pesa inatafutwa kuna wahuni hawalali ase,hasa huyu chalii Bakhresa,Dangote,Manji kwa uchache nikiwataja.
Alikuwa shule gani?ha ha ha kuna mtoto wa ndugu yangu ananiuma sana yupo sasa sober house kwani alianza kwenye hizi shule kuanzia kindergareten kidogo kidogo akajifunza kula unga na alipofika sekondari lugha ilikuwa nzuri ila tabia ni sifuri.wazee wake wametumia hela nyingi shuleni na sasa wanatumia hela kumlipia gharama ya sober house
Alikuwa shule gani?
mbona huku vingnguti kuna wala unga wengi ila hawajasoma Tanganyika mkuu.
ni mtoto tu na malezi yake sio shule.
Yanachangiaje maana sikuelewi kabisa mazingira ya hizo shule yanachangiaje mtoto kuwa teja tofauti na shule kama Galanos?mazingira yanachangia pia.ila huyu kaenda shuleni mdogo sana kwahiyo muda mwingi kakulia shuleni