Most expensive schools in Tanzania

Most expensive schools in Tanzania

Hata wewe hutakubali kuona motto wako aliyekuwa na malezi bora karudi likizo nyumbani na kiingereza kizuri ila ni teja.
Mleee mtoto katika njia impasayo naye hatooacha hata atakapo kuwa Mzee. Ukikimbia jukumu la kumlea mwanao, shetani atakusaidia kumlea. Mfundishe mwanao kuisikia sauti ya Mungu Na kuitii.
Mfundishe mtoto kuwa Na adabu usimfundishe nidhamu ya woga
 
Dah! Ila wakija vyuo tunakutana hukuhuku UDOM, UDSM nk. Alafu tuliosoma Kayumba tunawachachafya
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu unanichekesha saana.

Kweli una maono hasi kuhusu hizi shule.
ha ha ha kuna mtoto wa ndugu yangu ananiuma sana yupo sasa sober house kwani alianza kwenye hizi shule kuanzia kindergareten kidogo kidogo akajifunza kula unga na alipofika sekondari lugha ilikuwa nzuri ila tabia ni sifuri.wazee wake wametumia hela nyingi shuleni na sasa wanatumia hela kumlipia gharama ya sober house
 
Ila hzo shule watoto wake wanaosoma wanakuaga ma genius,..achana na u genius wa kukariri huu wa saint kayumba,..hawa madogo mfano wa hyo IST,..wanakuaga wanajua mambo meng sana,hata umchukue mtoto wa primary ukae uongee nae maswala yenye mantik,atakustaajabisha,so ukute sasa ana akili za kuzaliwa ndo utakubal..
Somehow lakini wengi wao huwa wanakuwa ma-lazzy linapokuja suala zima la kukabiliana na changamoto ktk fields za maisha.
 
Milioni 9 ×12=Milioni 108,Le boss akitoa ada ya mtoto mmoja ambayo ni million 65 atabakiwa na Milioni 43,assume ana watoto wawili,hapo ndo double standard itachukua mkondo wake na mwisho kuukubali ukweli kwamba IKULU sio top kwa kila kitu. Pesa inatafutwa kuna wahuni hawalali ase,hasa huyu chalii Bakhresa,Dangote,Manji kwa uchache nikiwataja.
nimekuelewa sana mkuu,kula 5 kwa mbaali. income mtu unayopata miaka kumi mwngne ni chenji ya miez kadhaa..
 
ha ha ha kuna mtoto wa ndugu yangu ananiuma sana yupo sasa sober house kwani alianza kwenye hizi shule kuanzia kindergareten kidogo kidogo akajifunza kula unga na alipofika sekondari lugha ilikuwa nzuri ila tabia ni sifuri.wazee wake wametumia hela nyingi shuleni na sasa wanatumia hela kumlipia gharama ya sober house
Alikuwa shule gani?

mbona huku vingnguti kuna wala unga wengi ila hawajasoma Tanganyika mkuu.

ni mtoto tu na malezi yake ingekuwa shule basi wengi wa wanaosoma wangekuwa mateja.
 
mazingira yanachangia pia.ila huyu kaenda shuleni mdogo sana kwahiyo muda mwingi kakulia shuleni
Alikuwa shule gani?

mbona huku vingnguti kuna wala unga wengi ila hawajasoma Tanganyika mkuu.

ni mtoto tu na malezi yake sio shule.
 
Back
Top Bottom