#COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

Mwezi wa nne graph itapanda sana.
 
Unasema walikuwa na Afya wakati unaona watatu kati yao ni vibonge kupitiliza, mmoja alikuwa na tatizo la moyo la muda mrefu na hapo hatujajua kama walikuwa na sukari, presha n.k kuongezea juu ya uzee

Kaugua lini marehemu? Aliwahi kusema mwenyewe anaumwa? Hukumsikia aliyesema kuwa alikuwa busy na mafaili akichapa kazi kweri kweri?

Kaugua lini huyu?



 
Hayo ni mashinikizo ilibkukubali chanjo zao..chanjo ambazo wao wenyewe hazijawasaidia
 
Avae barakoa na akome kujiweka karibu kwa ujinga wa kumuenzi Magu.

Kila mtu aishi maisha yake,hii biashara ya kuombeana wakati taratibu za kufuata zinajulikana haina maana
 
Avae barakoa na akome kujiweka karibu kwa ujinga wa kumuenzi Magu.

Kila mtu aishi maisha yake,hii biashara ya kuombeana wakati taratibu za kufuata zinajulikana haina maana

Hizo barakoa hazijawasaidia wao huko, leo zije zikusaidie wewe?
 
Uta anza kufa wewe kabla ya rais wetu, stupid people
Mficha maradhi kifo humuumbua. Natabiri kuwa hata yeye atakufa kwa Corona kama ataendelea kuipuuzia Corona. Corona ina utaratibu wake wa ajabu sana, ina wivu na inapenda kutawala. Ukikataa kuidhibiti ni lazima ikutawale. It started in Burundi!
 
Kama unaogopa jipige lockdown ndani km wazungu na vaa barakoa tatu tatu.
Sisi life as normal
 
Kama unaogopa jipige lockdown ndani km wazungu na vaa barakoa tatu tatu.
Sisi life as normal

"Sisi life as normal."

Unamaanisha ninyi nani na nani kawapa mamlaka ya kuendelea kuambukiza wengine kama mnavyotaka wenyewe?
 
Unaongea as if wewe uko nje ya uwanja wakati upo dimbani na huyo unaemtabiria, tumia akili.
 
Watu wanabebwa kirahisi sana na siasa za Covid, bila kujua kua hao wanaozieneza wana maslah binafsi...tena ya kiuchumi...kajilock down ndani kwako, vaa barakoa na dumu lita tano za sanitizer ndo uje utuelezee huku. Yes ipo ila kila taifa liwe na namna yake ya kupambana kulingana na rasilimali na mazingira
 
Unaongea as if wewe uko nje ya uwanja wakati upo dimbani na huyo unaemtabiria, tumia akili.
Mimi shida yangu ni hiyo kaunda ya mwalimu uliyovaa hapo kwenye avatar yako wakati haikutoshi.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo.Kuna genge la viongozi wahuni tena Rais wa nchi alitaka kuishinda Corona kwa kujidanganya kuwa haipo na wewe upo upande wake,ndiyo maana nasema kuwa hiyo kaunda ya mwalimu uliyovaa haikutoshi na unapaswa kuivua mara moja!
 
Hatupambani na Corona kwa namna yoyote ile.Tuache kuongopa. Corona haijaleta madhara makubwa tu hapa kwetu
Sio kweli corona imetuamsha na kuzikumbuka taasisi zetu zilizokua zikideal na tiba asili, wengi tulikua hatuijui NIMR ila imepewa support na kwa muda mfupi imetengeneza dawa COVIDO ambayo imefanya vizuri sana. Hata kama juhud zetu sio kubwa kama hao wengine ni kutokana na ukweli kuwa kama ulivyosema " Corona haijaleta madhara makubwa hapa kwetu" sasa kwa nn tupangiwe ya kufanya na mataifa mengine
 
Kuna jamaa mmoja hapa JF nilimwambia Tanzania inaweza kutoa mutation mpya ya kirusi, akawa anabisha saaana kwa ubishi wa kibongo wa ilimradi kubisha tu

Natamani niuone ule uzi nimuoneshe hii habari.

US na UK pia wanaweza kutoa mutations zao. Sayansi ina safari mrefu sana kumaliza hili tatizo
 
Hawa wazungu ni mafala sana.....
R.I.P Mh Magufuli
 
propaganda zishaanza tayari maana kwa ea ni sisi tu ndo tulikua nyuma kwenye hili suala
halafu kwann wanalazimisha chanjo kwa lazima
ivi ikitokea wananchi tukaikataa watasemaje au watafanya nn
 
Kuna jamaa mmoja hapa JF nilimwambia Tanzania inaweza kutoa mutation mpya ya kirusi, akawa anabisha saaana kwa ubishi wa kibongo wa ilimradi kubisha tu

Natamani niuone ule uzi nimuoneshe hii habari.
mafitna haya mkuu yani maisha yako mazuri huku Tanzania kuliko mnavyoaminishwa huko na mabeberu alafu wewe ni learned brother sikutegemea kama utayumbishwa na propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…