#COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

Ndiyo maana nakwambia unajitoa tu ufahamu.
Unasema kuna nchi zimefuata taratibu na bado zimekuwa affected more si ungezitaja?
Huu ndiyo ukweli kuhusu mutations za covid.
Hutokea zaidi kwenye nchi zilizofungua mipaka, au during easing of restrictions.
Suggesting that mutations happens more when the population of the virus is high. Hii ipo hata kwenye HIV.
Significance of mutant genes is directly proportional to the size of the gene pool.
Once you reduce the size/number, mutant genes tend to disappear. But with increased population, they can even lead to speciation.
Hiyo ni unbiased science, very simple.
 
Na msiba wa Magufuli kutakuwa na 100 mutation
 
South Africa na UK wamezalisha mutation, nao hawapimi watu?
 

Bro kuna mtu hajui ni nchi zipi zimekuwa affect sana na Covid? Well nchi karibu zote za ulaya na USA kwa hapa kwetu tusiisahau KENYA na SA zimeonyesha kushambuliwa sana

One thing mnatakiwa kujua mficha maradhi kifo humuumbua Tz corrona ipo ndo maana watu wamekufa kama nchi nyingine ingawa tunatofautiana magnitude.

Je kama walivyopublish na maelezo yako ni Tz tuu ndo haijafunga mipaka kuna muingiliano zaidi wa genes?
 
Uzuri ni kuwa, hiki kirusi kikikupata kama upo healthy kinakutingisha kidogo tu kama wiki mbili kisha unakaa sawa,

Kwa Tanzania corona ni old school song.
Ndugu yangu ukipata hata Hutokufa wanaharibu organs taratibu .wengi atawakipona in a year wanakufa .Kaa ndani
 
 
Sasa Hivi Brazil mutant ishawasili NY watu wameanza kufa upya .South Africa mutant ni 3rd wave Sasa Hii ya Brazil si mchezo ni lethal .Tanzania mutant ni haina hata vaccine na inaua vibaya sana ishawasili nchi 10 .
 
Shida ni kwamba wameona JPM keshafariki, wanataga kupresharizi SSH ateteleke na kuingia kwenye kimtego chao.

Nawaambien Madame is so STRONG maybe than the preceding One.

Hapigi kelele nyingi na sio muongeaji sn ila maneno yake machache ni motooo.
 
Wewe una data za Tanzania?
Kwa sababu mimi nipo USA na sijawahi kumuona mgonjwa wa corona au mtu wa karibu yangu kumsikia ana corona.
Ila new cases zilikuwa hadi 250,000 a day!
Just because life goes on, haimaanishi eti hakuna wagonjwa. Thats a bit naive.
Usiseme una afadhali wakati huna data, you don't have the means, the infrastructure even the will to fight.
Huu ungekuwa wakati mzuri wa kuimarisha miundombinu ya afya.
If it was up to me, ningetumia issue hii kuboresha public health. People wanna help, dont deny it.

Mbona Israel, New Zealand wamefight effectively? Au unadhani ni bahati?
 

Unafikiri Tz kungekuwa na vifo 1000 tuu kwa siku kwa corona kungekuwa na kuficha? Vifo/kifo hakifichiki mahospitalin tunakuona mtaani tunakuona yes kwa confidence naweza sema Tz sio kama SA na wala sio kama USA.
 

Wew unataka data za nini? Yani tell me the importance yakusema leo watu 1000 wamekufa na corrona au wanacorrona. Kutangaza kwa wananchi. Data acha zitumike na wizara ya afya na serikali juu ya kuongeza jitihada but data zisitumike kama mashindano na kujengea hofu jamii, ugonjwa upo njia za kujikinga Wizara imezitoa tena zakisayansi kabisa, mpaka kuvaa barakoa na vitakatisha mikono is up to u kuamua. Njia za asili zipo wew tuu naakili yako utumie zote au laah
 
nipe njia za wana sayansi ambazo Tanzania hawazifanyi
Ukifuata ushauri wa wanasayansi, utaepuka Corona.
Ila umeamua kufuata ushauri wa wanasiasa.
Ndiyo maana Kila siku linakuja jambo jipya. Siyo Kila kitu ni siasa
 
nipe njia za wana sayansi ambazo Tanzania hawazifanyi
Zote ... Yaani hakuna covid.
Social distancing.
Masking
Sanitizing
Lockdown (based on statistics kama inahitajika)

Badala yake ni NYUNGULIZATION ... Method done by NIMR, UDSM etc...

NYUNGULIZATION Haina scientific basis mbona wabishi??
Acheni ubishi please! It's freaking weird!
 
nipe njia za wana sayansi ambazo Tanzania hawazifanyi
1. Hawaoshi mikono
2. Hawavai barakoa
3. Hawafati masharti ya kukaa kwa umbali
Na haya ni very basic...
Bado hujataja elimu ya kujua magonjwa ya virusi, vifaa vya kuchakachua kimaabara,.............
 

Are you sure of this cz mim nina instructions kutoka kwa Wizara ya afya latest kabisa kuhusu corrona wacha niziweke hapa
 
Sawa scientific method huku sio mandatory,, lakn it's optional,kwa nyinyi mnaozifata hzo "scientific methods" zimewafikisha wapi, coz sioni haja ya kuanza kutishana,, kwa hali ya covid hii na jinsi tanzania ilivyo tungekuwa tushadanja nchi nzima

Msiforce tufanane bhana,, we survive kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…