Most streamed artists in Africa, Why no Kenyan?

Most Kenyans don't listen to local music.
 
Mpaka Uganda wamewachapa Raba [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nina. Mashaka hata top 100 hawapo
Halafu Ugandans huwa nyimbo zao asilimia kubwa wanaimba kiganda na nyimbo zao zinavuka border [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Most Kenyans don't listen to local music.
Vijisababu nivingi
Hapa Inaonhesha kabisa Mnapika Data za watumia Internet
nauhakika Kenya Hawana hata Nusu ya Watanzania
mnadanganywa sana
Forums zenu ni Hovyo watu Zero
YouTube Tz juu
IG Tz juu
FB Tz juu
Forums Tz juu
Yaani media Kubwa Kenya Haifikii Subscribers Wa Media ya 3 Tz
 
Kwa hivyo hata South Africa na Misri ambao hawana wasanii kwenye hiyo list pia wanacook data zao za internet penetration? Reasoning yenu ni ya ujinga sana!
 
Kwn diamond ana wimbo gani huo wa 10m views ndani ya wiki mbili
 
Kwhyo hutaki
Manake umenambia nije kwenye media, wkati mapato pia lazima
Kabla ya Mapato
Rejea Mada husika hapo juu
Mnadai mna Watumiaji wengi wa Internet sasa tupatieni Uhalisia upo wapi?
Maana Kila kona tunawachapa tena kwa mbaali
 
Kabla ya Mapato
Rejea Mada husika hapo juu
Mnadai mna Watumiaji wengi wa Internet sasa tupatieni Uhalisia upo wapi?
Maana Kila kona tunawachapa tena kwa mbaali
Kwhyo mumewazidi mpka south africa
 
Hivi South Africa iko classified as Sub- Saharan Africa country?

Huwa nashindwa kuelewa hapa.
Kwa hivyo afrika kusini haipo sub-Saharan Africa?!?! Wah!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ And you are just asking this with a lot of confidence. Hivyo ndio mnafundishwa saint kayumba preparatory?
 
Reasoning yao ndio hiyo sasa. Nakuambia akili zimedumaa kule south
Acha twende nao hvo hvo, mmoja eti anasema diamond kafikisha view 23m ndani ya wiki 3..

Kumbe anasahau km mchango wa koffi ni mkubwa sana katima ule wimbo..
 
Kwa hivyo afrika kusini haipo sub-Saharan Africa?!?! Wah!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] And you are just asking this with a lot of confidence. Hivyo ndio mnafundishwa saint kayumba preparatory?
Hizi ndio akili zao hawa jamaa, mwengine ananiletea followers hku nkamuuliza mapato akakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…