Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
internet za Kenya are very well cooked.
---and they have already been saved on the table ready to be eaten.🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
internet za Kenya are very well cooked.
Njoo kwenye medi80% ya views zote za diamond zinatoka nje ya nchi
Upo sahihiShilole jina lake pia anaitwa Zuwenna, itakuwa wewe ni fan wake mkubwa sana.
Most Kenyans don't listen to local music.Below is the list of most streamed artist in Africa. Why Kenya with 90% internet penetration has no single representative while Tanzania with 46% internet penetration has 3 artists.
Hii ni ushahidi tosha kwamba takwimu zenu za watumiaji wa internet za Kenya are very well cooked.
N. B:
content za Muziki, burudani na Michezo ndiyo content zinazoangaliwa zaidi Afrika, and Kenya is not an exception.
.....Nigerian singer Burna Boy has been unveiled as the most-streamed artist in Sub-Saharan Africa, according to Billboard.
On the list titled “Billboard’s Top 15 Sub-Saharan African Artists” which is based on global views, Burnaboy takes the lead with 435.57 million streams, Tanzanian Diamond Platnumz comes in second with 291.98 million streams whiles Davido takes the third spot with 285.76 million.
Also featured on the list is Sinach, the Nigerian gospel singer who became the first African to top the Billboard USA Christian songwriters chart last month.
See below for the full list:
1. Burna Boy – 435.57M🇳🇬
2. Diamond Platnumz – 291.98M🇹🇿
3. Davido – 285.76M🇳🇬
4. Fally Ipupa – 186.5M🇨🇩
5. Wizkid – 176.23M🇳🇬
6. Innoss’B – 155.67M🇨🇩
7. TeknoMiles – 153.07M🇳🇬
8. Mr Eazi – 139.68M🇳🇬
9. Harmonize – 138.98M🇹🇿
10. Rayvanny – 133.69M🇹🇿
11. Flavour – 130.15M🇳🇬
12. Sinach – 120.73M🇳🇬
13. Eddy Kenzo – 109.73M🇺🇬
14. Yemi Alade – 109.55M🇳🇬
15. Joeboy – 106.08M 🇳🇬
Kwenye mapato vipi
Akili ndogo hiiKwenye mapato vipi
Anamzidi nini size8 na hao followers woteShilole Ana 7M+Followers
Nitajie Mtu yeyote Kenya Anaye mfikia
Halafu Ugandans huwa nyimbo zao asilimia kubwa wanaimba kiganda na nyimbo zao zinavuka border [emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka Uganda wamewachapa Raba [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nina. Mashaka hata top 100 hawapo
Kwhyo hutakiAkili ndogo hii
Umebadili Mada kha
Hivi mbona saivi kumekuwa na Wakenya Vilaza sana JF
Vijisababu nivingiMost Kenyans don't listen to local music.
Jamaa Wajinga kweli na Huwa Inadanganywa Na Kwakupenda Sifa Inakubari
Yaani Inaambiwa Na Watoto walio zaliwa Jana wanatumia Internet Hahaha!!
Youtube,InstarNk
Mkenya Kupata Wafuasi 1Ml Nishangwe
Mwezi uliopita nilishangaa kuona Kundi lao Pendwa la Sijui sauti soul Kusherehekea 10Ml kwa mwaka Mzima!!
Bongo 10 Ml ni wiki 2
Kwa hivyo hata South Africa na Misri ambao hawana wasanii kwenye hiyo list pia wanacook data zao za internet penetration? Reasoning yenu ni ya ujinga sana!Below is the list of most streamed artist in Africa. Why Kenya with 90% internet penetration has no single representative while Tanzania with 46% internet penetration has 3 artists.
Hii ni ushahidi tosha kwamba takwimu zenu za watumiaji wa internet za Kenya are very well cooked.
N. B:
content za Muziki, burudani na Michezo ndiyo content zinazoangaliwa zaidi Afrika, and Kenya is not an exception.
.....Nigerian singer Burna Boy has been unveiled as the most-streamed artist in Sub-Saharan Africa, according to Billboard.
On the list titled “Billboard’s Top 15 Sub-Saharan African Artists” which is based on global views, Burnaboy takes the lead with 435.57 million streams, Tanzanian Diamond Platnumz comes in second with 291.98 million streams whiles Davido takes the third spot with 285.76 million.
Also featured on the list is Sinach, the Nigerian gospel singer who became the first African to top the Billboard USA Christian songwriters chart last month.
See below for the full list:
1. Burna Boy – 435.57M🇳🇬
2. Diamond Platnumz – 291.98M🇹🇿
3. Davido – 285.76M🇳🇬
4. Fally Ipupa – 186.5M🇨🇩
5. Wizkid – 176.23M🇳🇬
6. Innoss’B – 155.67M🇨🇩
7. TeknoMiles – 153.07M🇳🇬
8. Mr Eazi – 139.68M🇳🇬
9. Harmonize – 138.98M🇹🇿
10. Rayvanny – 133.69M🇹🇿
11. Flavour – 130.15M🇳🇬
12. Sinach – 120.73M🇳🇬
13. Eddy Kenzo – 109.73M🇺🇬
14. Yemi Alade – 109.55M🇳🇬
15. Joeboy – 106.08M 🇳🇬
Kwn diamond ana wimbo gani huo wa 10m views ndani ya wiki mbiliJamaa Wajinga kweli na Huwa Inadanganywa Na Kwakupenda Sifa Inakubari
Yaani Inaambiwa Na Watoto walio zaliwa Jana wanatumia Internet Hahaha!!
Youtube,InstarNk
Mkenya Kupata Wafuasi 1Ml Nishangwe
Mwezi uliopita nilishangaa kuona Kundi lao Pendwa la Sijui sauti soul Kusherehekea 10Ml kwa mwaka Mzima!!
Bongo 10 Ml ni wiki 2
Kabla ya MapatoKwhyo hutaki
Manake umenambia nije kwenye media, wkati mapato pia lazima
Tena kakosea Wiki 3Kwn diamond ana wimbo gani huo wa 10m views ndani ya wiki mbili
Reasoning yao ndio hiyo sasa. Nakuambia akili zimedumaa kule southhata Afrika Kusini pia haipo. kisha sielewi 'most streamed artist(s)' inahusiana vipi with a country's '%age of internet penetration'??? kwani hao viewers 300m alopata Domo wote wanatoka Bongo?
Kwhyo mumewazidi mpka south africaKabla ya Mapato
Rejea Mada husika hapo juu
Mnadai mna Watumiaji wengi wa Internet sasa tupatieni Uhalisia upo wapi?
Maana Kila kona tunawachapa tena kwa mbaali
Wiki 3 ana au wana..Tena kakosea Wiki 3
Aa 23Ml
Kwa hivyo afrika kusini haipo sub-Saharan Africa?!?! Wah!! 😂 😂 😂 😂 And you are just asking this with a lot of confidence. Hivyo ndio mnafundishwa saint kayumba preparatory?Hivi South Africa iko classified as Sub- Saharan Africa country?
Huwa nashindwa kuelewa hapa.
Acha twende nao hvo hvo, mmoja eti anasema diamond kafikisha view 23m ndani ya wiki 3..Reasoning yao ndio hiyo sasa. Nakuambia akili zimedumaa kule south
Hizi ndio akili zao hawa jamaa, mwengine ananiletea followers hku nkamuuliza mapato akakimbiaKwa hivyo afrika kusini haipo sub-Saharan Africa?!?! Wah!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] And you are just asking this with a lot of confidence. Hivyo ndio mnafundishwa saint kayumba preparatory?