Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,483
- 4,675
Sema kofii amezaliwa nakuru ni mkenya si ndio upunguani wenu.Sasa kwn uongo, niletee wimbo wa diamond na wale vikaragosi wake wa wasafi uliofanikisha hilo..
Alafu ujue followers sio kitu, mi mwnywe nilimjua koffi kutoka utotoni lkn sijawai hta search account yake insta wacha ku-mfollow..
Koffi ni legendary bana africa nzima na nje pia katikisa