Most streamed artists in Africa, Why no Kenyan?

Most streamed artists in Africa, Why no Kenyan?

Sasa kwn uongo, niletee wimbo wa diamond na wale vikaragosi wake wa wasafi uliofanikisha hilo..

Alafu ujue followers sio kitu, mi mwnywe nilimjua koffi kutoka utotoni lkn sijawai hta search account yake insta wacha ku-mfollow..
Koffi ni legendary bana africa nzima na nje pia katikisa
Sema kofii amezaliwa nakuru ni mkenya si ndio upunguani wenu.
 
Mleta uzi wewe ni mjinga sana. Kwahiyo unataka kwa sababu wana internet penetration kubwa sana waitumie ku stream nyimbo. Tanzania tutaendelea kuwa wajinga.
hiyo ni moja ya matokeo yake.

au elimu yako kubwa imeshindwa kutambua hilo!!!
 
Hizi ndio akili zao hawa jamaa, mwengine ananiletea followers hku nkamuuliza mapato akakimbia
mapato yepi unazungumzia???

inawezekana unazungumzia mapato ya mshahara,ila kama ni youtube jibu liko wazi
 
hiyo ni moja ya matokeo yake.

au elimu yako kubwa imeshindwa kutambua hilo!!!

You’re very stupid. I don’t know if your stupidity is hereditary or you just decided to act stupid. Nyie ndo mnafanya waTanzania tuonekana wajinga Afrika Mashariki.
 
You’re very stupid. I don’t know if your stupidity is hereditary or you just decided to act stupid. Nyie ndo mnafanya waTanzania tuonekana wajinga Afrika Mashariki.
wewe kama ni mjinga ni mjinga tu baba angu,usitafute wa kumtwisha lawama.

labda nikukumbushe,tunaonekana manduza sababu ya watu wasiotumia akili maeneo mengi kama wewe.

nikuulize wewe,wakenya wanatumia internet zaidi kwenye nini!!!tena uje na data sio mawazo tu kama unayoleta hapa.
 
Jamaa Wajinga kweli na Huwa Inadanganywa Na Kwakupenda Sifa Inakubari
Yaani Inaambiwa Na Watoto walio zaliwa Jana wanatumia Internet Hahaha!!
Youtube,InstarNk
Mkenya Kupata Wafuasi 1Ml Nishangwe
Mwezi uliopita nilishangaa kuona Kundi lao Pendwa la Sijui sauti soul Kusherehekea 10Ml kwa mwaka Mzima!!
Bongo 10 Ml ni wiki 2
Kundi la machoko
 
Watz kidogo, this is by far the worst reasoning to support
 
Imepenya wazee wa 20%[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
tunajua nyinyi ni jua kali,hata kuburudika ni anasa,achia mbali kupata habari.ona huyu kijana sijui mnamjua hapo kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20201230-143811.jpg
 
Hta huyo sio ajabu watz ni 20%[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
80% nje ya nchi kisha mnajiafanya kupenda vya ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
najua shida yako ni hiyo.

kukubali kwamba tunakubali sana vyetu,na tunavithamini.eh tell me 80% ni kutoka nchi gani maana wanal
oelewa kiswahili ni nyinyi wakenya,tena nanyinyi mnaelewa kishwahili cha kwenu sio hiki chetu pure.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
hata Afrika Kusini pia haipo. kisha sielewi 'most streamed artist(s)' inahusiana vipi with a country's '%age of internet penetration'??? kwani hao viewers 300m alopata Domo wote wanatoka Bongo?
Ili ujue Tanzania tuko juu sana kwenye digital media, niletee msanii wa kenya, kampuni ya kenya, taasisi ya kenya yenye follewers milioni 1, mimi ntakuletea 10 zaidi
 
Ili ujue Tanzania tuko juu sana kwenye digital media, niletee msanii wa kenya, kampuni ya kenya, taasisi ya kenya yenye follewers milioni 1, mimi ntakuletea 10 zaidi
Kitu rahisi Ni nchi yenye watu wanastream premier league or laliga wengi,
Hapo ndio utajua ukweli.
 
Vijisababu nivingi
Hapa Inaonhesha kabisa Mnapika Data za watumia Internet
nauhakika Kenya Hawana hata Nusu ya Watanzania
mnadanganywa sana
Forums zenu ni Hovyo watu Zero
YouTube Tz juu
IG Tz juu
FB Tz juu
Forums Tz juu
Yaani media Kubwa Kenya Haifikii Subscribers Wa Media ya 3 Tz
Tanzania Kiswahili is the language yenye kila mtu hutumia ama the majority. So mta subscribe to a lot of local content. Then Kenya watu huskiza redio za kilugha sana. Utapata mtu kama "Samido" a kikuyu musician ako na more views on YouTube than akina khaligraph or Nameless. Hakuna mwanamziki mkubwa Kenya coz of this 'tribal' factor.
 
Back
Top Bottom