Motivation Speaker anatakiwa awe Ally Hapi, Siyo wale kuongea pasi vitendo

Kalimeni muone...

Ninyi mnaotisha watu ndio watu wabaya sana , handeni pale kibirashi, wanalima mahindi na mbaazi bila mbolea, kukodi ekari moja haizidi 50000 yaani kuhudumia ekari moja kulima hadi kupanda haizidi 150000 na kila ekari kwa kule unapata hadi gunia 10 au 15 na wanaanza kukodi kuanzia mwezi wa saba, wachaga hufunga maduka kariakoo na kuzamia kule wanalima hadi ekari 200 na wanauzia mahindi yao tarakea kenya kwenye mavuno baadae hurudi kariakoo kufungua maduka, lazima tupeane code za pesa tusikalie kulia lia tu, anaetaka hii code aende huko aone maajabu watu wanatandika pesa bila vurugu unabaki mjini wenzako wako chimbo wanatandika pesa, kikubwa huko utafute mashamba ambayo hayajachoka sana ndio utafaidi
 
Sijatisha mtu, nimesema kalimeni muone
 
Sijatisha mtu, nimesema kalimeni muone

Hakuna maajabu wape moyo watu, kuna wengi wanaonitafuta na hawajui waanzie wapi, Tanzania ina fursa nyingi mno, hamuoni aibu waha na wasukuma kuwauzia mashamba wanyarwanda na warudi mashamba makubwa ya kilimo pale kibondo, kakonko na chunya na wageni kufanya kilimo na kutajirika mbele ya macho yenu ilihali ninyi mnalia lia kama wendawazimu?
 
Hao ndio wabongo, wakati hizo pilipili tayari viwanda vya chillsauce wanachukua kwa wingi kwa hapi wao wanakejeli kizembe, utakuta bado mtu kapanga single room na ana miaka 35 huko lakini alivojawa na dharau sasa
Huyo huyo mtu anapo ponda au kukatisha tamaa wenzake unakuta yupo bado kwao ni hajui hustler life.
 
Hao ndio wabongo, wakati hizo pilipili tayari viwanda vya chillsauce wanachukua kwa wingi kwa hapi wao wanakejeli kizembe, utakuta bado mtu kapanga single room na ana miaka 35 huko lakini alivojawa na dharau sasa
Wewe una ushawishi gani wa kumuuzia redgold hizo hoho. Kwanza ukimfuata atakuona umechanganyikiwa hebu peleka ujinga wako Mabibo mahakama ya ndizi.
 
Hakuna maajabu wape moyo watu, kuna wengi wanaonitafuta na hawajui waanzie wapi, Tanzania ina fursa nyingi mno, hamuoni aibu waha na wasukuma kuwauzia mashamba wanyarwanda na warudi mashamba makubwa ya kilimo pale kibondo, kakonko na chunya na wageni kufanya kilimo na kutajirika mbele ya macho yenu ilihali ninyi mnalia lia kama wendawazimu?
Kilimo cha kutajirika kinataka hela sio vilimo vyetu vya mtaji wa million 2 hivi. Ukidunda tu mara ya kwanza biashara imeisha 😀😀😀
 
Hao ndio wabongo, wakati hizo pilipili tayari viwanda vya chillsauce wanachukua kwa wingi kwa hapi wao wanakejeli kizembe, utakuta bado mtu kapanga single room na ana miaka 35 huko lakini alivojawa na dharau sasa
Mkuu sio dharau mama yangu analima hoho na bamia na bilinganyi na pilipili za mwendokasi na pilipili kichaa zile zinazopendwa sana na wahindi, narudia tena kwa msisitizo hakuna wa kuiba hoho
 
Kilimo cha kutajirika kinataka hela sio vilimo vyetu vya mtaji wa million 2 hivi. Ukidunda tu mara ya kwanza biashara imeisha 😀😀😀
Mdomo nikiongea mimi naambiwa nna dharau au ngoja sitii neno hapo
 
Ally Hapi alipoingia Iringa alijenga kwanza nyumba ya kuishi, akanunua mashamba makubwa sana , hata alipohamishiwa tabora kisha mara bado wafanyakazi walikuepo shambani na msimu ule wa kwanza akiwa Iringa nyanya ilikubali akakutana na soko akagonga kama milioni 45, ndio toka hapo hakuacha, tunapuuzia kilimo lakini ukiwa na mtaji unatoka, kuna jamaa mmoja wa TRA songea yeye kule peke yake hua anavuna gunia za mahindi hadi 5000 akianza kuuza mnanunua hadi mnakimbia wenyewe ana trekta kama 5 hivi massey ambazo wakati anaanza alichukua zile used za msumbiji, “ kama unataka mali utayapata shambani “
Ukweli mtupu....kilimo ndio mkombozi.
 
Ukishaona biashara ina picha picha sana jua mnaitwa muumie pamoja

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sio kweli.
Hii nchi ina ardhi yenye rutuba na hali ya hewa nzuri kwa kustawisha mazao.
Jaribu, hutajuta. Mi nimejaribu kilimo cha makakara (passion), japo kwa uchache lakini kinalipa kwasababu hutumii gharama kubwa
IMG_20221120_113900_620.jpg
 
Hekari tatu kuzihudumia zitoke katika kiwango hicho unafikiri ni rahisi kwa kijana ambaye hana mbele wala nyuma? 🤣
Ndiyo maana mwanzo wa hii mada nikaandika wengi wanavutiwa na anachokifanya, tatizo linakuja ni kuwa na capital.

Bahati nzuri Hapi muda mwingi yupo site na uzuri wa mashamba siyo kwamba unalima wewe NO, wewe unakuwepo kufuatilia kila hatua zinazotakiwa.

So tujipe nafasi ya kufanikiwa and not failure!.
 
Back
Top Bottom