Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Salama!
Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.
Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.
Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.
Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.
Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.
Hatari Sana kwa kweli!
Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa