Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Huyu ndiye alimaliza kazi jana kweli?nadhani ezekia wenje alimaliza kazi jana vizuri sana,
msimamo wa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa uko pale pale, kukilinda chama dhidi ya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mercenaries wake 🐒
Na kusema kuwa Join the Chain ilikuwa kampeni ya kukusanya pesa ili kumpindua Mbowe akiwa gerezani halafu mara moja katibu mkuu akakanusha?