Moto anaopelekewa Mbowe unamfanya ashindwe kurusha shambulizi hata Moja la maana

Moto anaopelekewa Mbowe unamfanya ashindwe kurusha shambulizi hata Moja la maana

Lisu ni kama Magufuli yeye ni kunyoosha tu kitu ambacho ni hatari sana ukishakuwa kiongozi hekima na busara ni kitu muhimu sana hasa sisi ngozi nyeusi. Kwenye uongozi wa Lisu hii nchi itakuwa ni matamko kila siku

😅😅😅
Mtu mwenye matamko kama Hana Mbinu za kujihami
 
Salama!

Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.

Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.

Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.

Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.

Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.

Hatari Sana kwa kweli!

Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Kwa hiyo mmesema anapelekewa moto au hoja?
 
Mbowe amezeeka haamini walimwengu wanamnyanganya duka lake hivi hivi ooopsssh....Yaani Joni Mrema akiona duka lao linaenda anachanganyikiwa kipara chote kinalowana mayiiii...Jamaa anaekopi vitabu vya watu na hata majina ya wazazi wengine anajipachika yeye ndio zero plus
Mmachame hakutegemea yaliyotokea ndio maana hata hakujiandaa na silaha nzito nzito.
Yani ulaji anauona ulee unaondoka ivi ivi
 
Kabisaaaa..watainua vijana mapandikiz wenye nguvu wa kumshughulikia.
Yaan leo hii mbowe anafikia hatua ya kulia lia hadharani kwamba "wananifanyia character assasination" halaf tena bila aibu anasema "tutawashughulikia baada ya uchaguzi".
Hopeless kabisa hata akishinda
Kila la Mwanzo lapaswa kuwa na mwisho
 
Back
Top Bottom