Moto anaopelekewa Mbowe unamfanya ashindwe kurusha shambulizi hata Moja la maana

Salama!

Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.

Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.

Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.

Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.

Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.

Hatari Sana kwa kweli!

Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Wanamkabia kwa juu
 
Lucas Mwashambwa ata bubujikwa na machozi hapa bure
 
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣
Ni vyema useme upepo wanaopelekewa CCM ndio itakaa poa zaidi.
Maana wanaoungua zaidi huo upepo wa moto ni CCM
 
Salama!

Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.

Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.

Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.

Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.

Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.

Hatari Sana kwa kweli!

Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Mbowe anawasubiri kwenye box la kura,huku kwingine ni kujifurahisha tu
 
nadhani ezekia wenje alimaliza kazi jana vizuri sana,
msimamo wa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa uko pale pale, kukilinda chama dhidi ya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mercenaries wake 🐒
Wenje kamaliza kazi. Kazi gani? Ule uongo ambao hata Mnyika ameukanusha! Poleni sana Chadema. Vita yenu imekuwa furaha kwa kunguru wa rangi ya kijani.
 
Lissu ana sapoti ya wapiga kelele wa mitandaoni(keyboard warriors) , pia bodaboda huko vijiweni, wapiga debe stand na huko masokoni,,, Elites na watu wanaojielewa plus wajumbe ndio wapiga kura watampigia Freeman mapema sana ! Huyo mropokaji, na mmbabaishaji nani ampe uongozi wa juu wa chama ? Huyu kitu kidogo tu si atakimbia nje ya aanze kutoa matamko mitandaoni? Kwanza hana cash ! Ngoja baada ya uchaguzi tutajua madudu yake yote pamoja na Heche,,, ! Wanajifanya wasafi sio
 
😃😃😃

Yericko Hana hamu. Yupo mahututi.
Ni bora angeendelea kunyamaza kipindi kile. Alipoongea ndo watu wamegundua kumbe jamaa ni kilaza sana... Hamna kitu kabisa kichwani. Na watu wamemfua mua. Amebaki hana marindah kiakili. Yupo wazi kabisa....choka mbaya. Sasa imagine Mbowe mikakati yake anaenda kupanga anashauriwa na Ntobi, Yericko na Wenje.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Uki wacheck tu usoni unasema hapa hamna kitu.
 
Salama!

Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.

Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.

Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.

Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.

Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.

Hatari Sana kwa kweli!

Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Ushawahi kuona mtu anayejiamini na ana hela anapiga kelele? Kelele huwa zinapigwa na ndugu maskini kwenye vikao vya ukoo!
 
Lisu Tundu, ongeza motooo pelekaaa motooo hadi Bowe atapike Kila alichomeza
 
Wanachama wanataka sera au shambulio?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom