Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Mbowe ni Nyani mzee Usijeshangaa hata mshale huu anukwepa
Mbowe anaweza kutumia Dola kubaki kwenye Dola watu wakabaki.hawaamini macho yao
Bado hujajibu swali langu Robert.Kwa sababu Mbowe ni Punch Bag la CCM.
CCM washampiga Sana KO Mbowe. Wanajua chembe ya Moyo bado haijapona.
Fikiria chaguzi tatu zote CCM wanafanya watakavyo Mbowe yupo tuu hajui nini afanye.
Mbowe anajificha kwenye handaki kisha anawatuma akina Wenje,Yericko,Ntobi wavae mabomu waje nje huku.
Wanamkabia kwa juuSalama!
Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.
Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.
Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.
Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.
Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.
Hatari Sana kwa kweli!
Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Bado hujajibu swali langu Robert.
Lisu anachukua anaachiaa wanampelekea Mzee Mbowe Kwake yaani dah mtaua huyu mzee jamaniMbowe yuko Kwenye defensive model πππ
Lisu anauleta tu πΌ
Wanamkabia kwa juu
Kamanda Kala nyoya mdahaloππ€£
Kwanini unafikiri Lissu anafaa zaidi ya Mbowe? Nipe sababu moja tu inayomfanya Lissu afae kuwa Mwenyekiti CDM.Nimekujibu Mkuu.
Lucas Mwashambwa ata bubujikwa na machozi hapa bureSalama!
Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.
Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.
Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.
Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.
Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.
Hatari Sana kwa kweli!
Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Mbowe anawasubiri kwenye box la kura,huku kwingine ni kujifurahisha tuSalama!

Sio hana uwezo wa kueleza, sema haupendi na hautaki kusikia anachoelezaMpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Wenje kamaliza kazi. Kazi gani? Ule uongo ambao hata Mnyika ameukanusha! Poleni sana Chadema. Vita yenu imekuwa furaha kwa kunguru wa rangi ya kijani.nadhani ezekia wenje alimaliza kazi jana vizuri sana,
msimamo wa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa uko pale pale, kukilinda chama dhidi ya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mercenaries wake π
Msije tu kulialia na visingizio.Mjitahidi angalau apate Kura 30%
Maana Mzani umelalia kwake
Ni bora angeendelea kunyamaza kipindi kile. Alipoongea ndo watu wamegundua kumbe jamaa ni kilaza sana... Hamna kitu kabisa kichwani. Na watu wamemfua mua. Amebaki hana marindah kiakili. Yupo wazi kabisa....choka mbaya. Sasa imagine Mbowe mikakati yake anaenda kupanga anashauriwa na Ntobi, Yericko na Wenje.....π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Uki wacheck tu usoni unasema hapa hamna kitu.πππ
Yericko Hana hamu. Yupo mahututi.
Ushawahi kuona mtu anayejiamini na ana hela anapiga kelele? Kelele huwa zinapigwa na ndugu maskini kwenye vikao vya ukoo!Salama!