Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Huyu ndiye alimaliza kazi jana kweli?nadhani ezekia wenje alimaliza kazi jana vizuri sana,
msimamo wa wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa uko pale pale, kukilinda chama dhidi ya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mercenaries wake 🐒
💐💐💐💐💐Lissu kafanya vizuri kuto tangaza mapema maana Mbowe angejiandaa
Mbowe akili kubwa hawezi kujibizana vibarazani! Kichwa kimejaza hekima!Salama!
Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.
Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.
Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.
Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.
Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.
Hatari Sana kwa kweli!
Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
mbowe syo mropokaji.Salama!

Mbowe amejiandaa kisaikolojia kukubali Kushindwa na kumbuka Mbowe Kwa hulka sio mtu wa kuropoka so anakuwa na akiba ya maneno.Salama!
Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.
Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.
Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.
Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.
Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.
Hatari Sana kwa kweli!
Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Mbowe amejiandaa kisaikolojia kukubali Kushindwa na kumbuka Mbowe Kwa hulka sio mtu wa kuropoka so anakuwa na akiba ya maneno.
Gurudumu Bado linazunhuka na Lisu kuwa Mwenyekiti wa Chadema sio mwisho wa Maisha,Kuna maisha mengine baada ya hapo.
Mbowe NJ mtibeli na Kama ujuavyo watibeli Huwa hawaropoki wanajua kuna kesho pia muhimu kuliko Leo waliyoiiwhi tayari.
View: https://www.instagram.com/p/DE7nQHLt1-E/?igsh=ZHA3eTl2c21xOXVr
mbowe syo mropokaji.
huyu ni busara tupu, syo kichaa, syo mwehu.
anawaacha wehu watukane ili wakose fadhila popote tanzania
Mbowe akili kubwa hawezi kujibizana vibarazani! Kichwa kimejaza hekima!
Lucas Mwashambwa ata bubujikwa na machozi hapa bure
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣
Ni vyema useme upepo wanaopelekewa CCM ndio itakaa poa zaidi.
Maana wanaoungua zaidi huo upepo wa moto ni CCM
Mbowe anawasubiri kwenye box la kura,huku kwingine ni kujifurahisha tu
Uongo! Story za ubangaizaji tumezipata wapi!?mbowe syo mropokaji.
huyu ni busara tupu, syo kichaa, syo mwehu.
anawaacha wehu watukane ili wakose fadhila popote tanzania
Lisu hata akishinda atagombana na viongozi wengi sana, chadema kila siku kitakuwa ni chama cha mavurugu. Nadhani hapa Mbowe akimwachia tu lisu ili kila mtu aone ubovu wake
Huyu ndio kiongozi bora.Salama!
Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa ashaaga mashindano.
Hajashambulia hata mara Moja. Yeye Kazi yake ni kuzuia mashambulizi ingawaje yapo yanayomuingia vilivyo.
Mpaka sasa Mbowe Hana uwezo wa kueleza ataifanyia nini CHADEMA.
Mifumo yake ya ulinzi, kumbukumbu, Sera na maamuzi imeharibiwa vibaya na makombora ya Timu Lisu.
Anachofanya Mbowe ni kama Hezbollah au Hammas kujificha kwenye mahandaki.
Wapiganaji wake kina Yericko Nyerere na Wenje kwa sasa ni mahututi, wanataka vita visitishwe. Lakini Timu Lisu wamedhamiria kumkoma Nyani Giladi.
Hatari Sana kwa kweli!
Kwenu johnthebaptist , ChoiceVariable FUSO Retired Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
Huyu ndio kiongozi bora.
Huna haja ya kurusha makombora lamuhimu kueleza sera zake.
Na mie namuomba asijitoe.
hakuna aibu kushindwa.
huko ndio kukomaa
Sawa wacha tuoneChama kinaongozwa na Katiba Mkuu.
Hayo unayosema ni maoni tuu.
Lisu ashaongoza TLS chama cha Wasomi watupu ashindwe kuongoza chama Chenye watu mchanganyiko?
Sawa wacha tuone