Moto Kariakoo: Tunaendekeza machinga mentality, tumeanza kuvuna mabua

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Management ya miji mikubwa kwetu Afrika ni kitu kipya. Wenzetu Ulaya na kwingineko walijifunza the hardway.

Moto wa London, The Great Fire of London mwaka 1666, karibia miaka 500 iliyopita , Uingereza ilijifunza kutokana na moto huo wa siku nne mfululizo.
Chanzo: Machinga type mentality.

Sisi huku Tanzania , wanao manage miji, wanasiasa na hata hao machinga, wametoka vijijini, wengine jana, na wengine si zaidi ya miaka 15 au 20 iliyopita.

Katika historia ya kikoloni sisi tulisoma juu ya The Great Fire of London, sina uhakika na hilo kwa viongozi wengi wa miji wa sasa.

Tumeonya sana juu ya Machinga mijini, lakini kwa vile ni mtaji wa kisiasa, wataendelea kuwepo hadi tukio kama la Kariakoo litokee tena.

Rais na hata Waziri Mkuu wanaunda Tume za chanzo cha moto wakati majibu wanayo. Basically ni whitewash.

Tumechecka na machinga mentality, na sasa tunavuna mabua, literally!
 
Kwani sisi machinga ndio tumeunguza soko la kariakoo ? Mlitulipisha 20,000/= ya kitambulisho cha wajasiriamali wadogo, mtuguse tunuke 🐒🤸🔥
Hamuwezi kunuka, badala yake mtanukia.
Nchi hii haijawahi kutokea wanyonge wakanuka.
Ninyi wamachinga ndiyo wanyonge wa nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…