Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kweli wewe Poor Brain π§ aisee.... π¬π¬ unajichanganya tuAzam walizulumiwa goli Lao la haki kabisa bila ya kipingamizi, goli lilifungwa lakini mshika kibendera alinyanyua juu kibendera kuashiria kuwa mfungaji kaotea Lakini katika marejeo ni goli halali kabisa bila hata ya kupepesa macho Azam walizulumiwa
Ungetoa na uzoefu pia huwa unafanyaje pale sura ya mtoto ulipoona haifanani na mazaMimi wife akizaa tu ile namwangalia mtoto nikiiona sura ya maza tu nasema good naandaa zawadi kwa wife.
Hauna akili, unajiona mjaanja unapimisha na mamako, kwan mamako ndo mtia mimba? wenzako wapo hatua 1000 mbele ya kizazi chako wanatumia dna, we endelea kujipimisha ma mama yako ukimaliza unyonye ulaleSina muda wa kupoteza, natupa kiberiti kichakani. Wa kuungua aungue wa kujisalimisha ajisalimishe.
Mungu alijua kabisa kuwa wanaume ni watu watata na wenye utawala ndani yao. Hivyo anahakikisha kila mtoto anayetaka kiunoni mwa mwanaume lazima afanane naye, lazima. Bila kujali jinsia ya mtoto.
Kama huijui vizuri sura yako au mwonekano wako watazame wazazi wako hasa mama yako maana yawezekana baba yako naye alichezewa mchezo.
Mimi wife akizaa tu ile namwangalia mtoto nikiiona sura ya maza tu nasema good naandaa zawadi kwa wife.
Kama huyo mtoto wako hajalandana na wewe ndugu mlee tu kama kiumbe wa Mungu ukitaraji thawabu za Muumba ila si wako.
Kwanza wakifanana nae wasome PCM tu ππKama una watoto wakike na wote wamefanana na wewe sipati picha, utasubiri sana kula mahari [emoji23]
Kabisaa dearKwanza wakifanana nae wasome PCM tu [emoji1][emoji1]
Lazima mtoto afanane nawe baba tofauti na hapo umepigwaMimi nikiangalia sura yangu ni baba (60%) + mama (40%) .
Mtoa mada ana hoja.
Nb: kuna wazazi wana damu nzito na wengine nyepesi kama vipi DNA ipimwe pia
Hujaelewa codeKweli wewe Poor Brain [emoji3447] aisee.... [emoji51][emoji51] unajichanganya tu