Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
Dah! Watu wanapenda kufirisika hapoMoto mkali mpaka sasa umeunguza nyumba 3 na godown moja ambalo lilikuwa limejaa magodoro.
hadi sasa vikosi vya ulinzi vipo hapa fire ilikuja moja ikazidiwa ikabidi badala ya kuzma chanzo wapambane kuzuia moto usendelee kwa sasa zimefika nyingine mbili so zoezi la uokozi linaendelea.
😂😂😂😂😂😂😂😂Moto wa mama huo
Hawajabima?Dah! Watu wanapenda kufirisika hapo
moto ulowakaga keko furniture miezi iliyopita pale barabarani karibu na kituo cha mwendokasi ilikuwa biashara ya huyu huyu warioba boss ambae moto umewaka kwenye godown lake leo hii ni mara ya tatu anaunguliwa na biashara na bado anakimbiza.Dah! Watu wanapenda kufirisika hapo
Moto mkali mpaka sasa umeunguza nyumba 3 na godown moja ambalo lilikuwa limejaa magodoro.
hadi sasa vikosi vya ulinzi vipo hapa fire ilikuja moja ikazidiwa ikabidi badala ya kuzma chanzo wapambane kuzuia moto usendelee kwa sasa zimefika nyingine mbili so zoezi la uokozi linaendelea.View attachment 3547246View attachment 3547247View attachment 3547248View attachment 3547249View attachment 3547250
huku ni ndani ndani sana ila huyu boss ni mara ya 3 ndani ya miaka miwili anaunguliwa biashara miez ilopita pale keko barabarani kabisaWanataka kujenga soko jipya
Mganga kadondosha Tunguli ina muonekano wa Smartphonehuku ni ndani ndani sana ila huyu boss ni mara ya 3 ndani ya miaka miwili anaunguliwa biashara miez ilopita pale keko barabarani kabisa
Na badomuslims wanalitaka hilo eneo labda kama vile kariakoo, wamechoma wakapora, poleni waathirika ...
Amekata bima kubwa? Mjini kuna mengihuku ni ndani ndani sana ila huyu boss ni mara ya 3 ndani ya miaka miwili anaunguliwa biashara miez ilopita pale keko barabarani kabisa