Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Wanaenda kuzima majivu siku iingieMpaka fire watoke KUTOKA upanga sio leo
Wanaenda kuzima majivu siku iingieMpaka fire watoke KUTOKA upanga sio leo
Fire station zilitakiwa kuwa kila eneo la Dar lenye mbunge, ile ya Upanga ilitakiwa iwe ya Karioakoo, Upanga, Mjini na Magomeni, tuMpaka fire watoke KUTOKA upanga sio leo
husomi maelezo??Kiongozi, umepigia simu Fire/Zimamoto kwa namba yao ya bure kabisa 114 au umeona uje kwanza huku kuposti picha?
picha ya mwizi ipo wapi? maana ya fire extinguisher tumeionaupdate:
moto umeisha ila Drama nzio ziliendelea hapa.
Wakati watu wa jirani na eneo la tulikio wanaokoa mali zao kwakuzitoa nje wakihofia moto kusambaa kuna vijana waliona kwao ni fursa,
Wakaiba TV mbili nc 55 na 32 na godoro sasa walionekana na walikuwa wanajulikana ukaamza msako sasa imepatikana Tv moja nch 32 sasa 55 iko wapi??View attachment 3547287.
Mwizi anasakwa na fire extinguisher! mwizi anapigwa poda ya fire extinguisher anatupwa kwenye cruza PT.
Nilichongudua leo kumbe unaweza kupigwa hata ukiwa kwenye gari la polisi na polisi wasifanye kitu 😃
mwizi ameshaifadhiwa polisi centropicha ya mwizi ipo wapi? maana ya fire extinguisher tumeiona
Hivi hapo bado kile kibaa cha KING PALACE kipo hapo kaka ? Je Niko dereva tax bado anapaki hapo barabara ya kwenda MSD pembezoni na hilo soko dogo ?mwizi ameshaifadhiwa polisi centro
Bima ni wizi tuuu ulorasimishwa kisheriahapa ndio umuhimu wa bima unapokuja kwa hasara iliyotokea..
king palace bado ipo hao wa tax hawapo tenaHivi hapo bado kile kibaa cha KING PALACE kipo hapo kaka ? Je Niko dereva tax bado anapaki hapo barabara ya kwenda MSD pembezoni na hilo soko dogo ?
Poleni sana ,nawamiss sana nyie watu wa hapo mna historia nzuri na mimi
Apa si ndio walipojengea lile box la kuficha mashahidi wa uongo? Paungue tu!Moto mkali mpaka sasa umeunguza nyumba 3 na godown moja ambalo lilikuwa limejaa magodoro.
hadi sasa vikosi vya ulinzi vipo hapa fire ilikuja moja ikazidiwa ikabidi badala ya kuzma chanzo wapambane kuzuia moto usendelee kwa sasa zimefika nyingine mbili so zoezi la uokozi linaendelea.View attachment 3547246View attachment 3547247View attachment 3547248View attachment 3547249View attachment 3547250
Dah dawa sawa kakaking palace bado ipo hao wa tax hawapo tena